Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

Status
Not open for further replies.
habari kubwa hiyo! humu ndani itabidi siku moja tujitambulishe kwa majina yetu halisi, nina uhakika hata Makamba yupo huku JF!! na tena usikute ndio huyu "Antsadism" na propaganda zake za CCM!

kwi kwi kwi...

hii ni quote of the day.... antsadism = Makamba!
 
Hivi kweli ni Dr Slaa au mafisadi wanatumia jina lake???????????.Kama kweli tunaomba simu yako ili tuwasailiane nawe kuhusu maisha ya walala hoi.
 
Mh Daktari

Nakupa changamoto...ukiwa kule seminari lazima ulipitia msemo huu wa kilatini: Vita vivenda non vitanda est!

maana yake "Vita vikienda, pambana hadi East"...lol

on a serious note kilatini changu kinanikimbia but has to do with

Maisha ni zaidi ya kuwa hai... or something like that.
 
Kama ni mgeni hapa namshauri kwamba kama ana mawazo kuwa JF ni club ya elites basi atakuwa amekosea njia. hapa ni mahala pa wote, wapo waliokwenda shule na wasiokwenda shule lakini wengi kama si wote ni WATANZANIA, hapa wapo wajenga hoja na pia wapo wapinga hoja lakini wengi kama si Wote ni WATANZANIA, wapo wanaofurahisha na wapo wanaokera, kwako wewe itategemea ni wepi hao si lazima wawe sawa na wa kwangu mimi lakini bottom line ni kwamba Wengi kama si wote Wote ni WATANZANIA. kiufupi hapa ni reflection ya jamii ndo maana pakaitwa jamiiforums, siyo club ya waliosoma peke yao, kwa hiyo ukiwa hapa dr itabidi ucheze namba zote, yaani ureflect jamii yetu, lakini kwa lengo la kuisukuma mbele

dr habari ndo hiyo!

Well said, Karibu sana Doctor. Natumaini ujumbe umefika!
 
Sasa mafisadi mtakoma..tumeshaupata mdomo mwingine wa uhakika humu......mjiandae kwa vilio sasa
 
Kama ni mgeni hapa namshauri kwamba kama ana mawazo kuwa JF ni club ya elites basi atakuwa amekosea njia. hapa ni mahala pa wote, wapo waliokwenda shule na wasiokwenda shule lakini wengi kama si wote ni WATANZANIA, hapa wapo wajenga hoja na pia wapo wapinga hoja lakini wengi kama si Wote ni WATANZANIA, wapo wanaofurahisha na wapo wanaokera, kwako wewe itategemea ni wepi hao si lazima wawe sawa na wa kwangu mimi lakini bottom line ni kwamba Wengi kama si wote Wote ni WATANZANIA. kiufupi hapa ni reflection ya jamii ndo maana pakaitwa jamiiforums, siyo club ya waliosoma peke yao, kwa hiyo ukiwa hapa dr itabidi ucheze namba zote, yaani ureflect jamii yetu, lakini kwa lengo la kuisukuma mbele

dr habari ndo hiyo!

Dr. Slaa karibu sana, ila nakuomba zingatia ushauri wa huyu bwana.
Hapa kuna watu kweli wanakera sana na nia yao ni kukatisha tamaa na si kukosoa. Na kwa kuwa hatutumii wengi majina yetu halisi naamini utakutana na wabaya wako hapa kutoka bungeni na baadhi ya vyama vya siasa. Sasa kama kweli umeamua kujiunga hapa nakuomba sana kuwa mvumilivu.
 
Kuna member aliyesajiri hapa kwa jina la Dr Slaa July 1, 2007 ambaye siku zote nimekuwa nikiamini kuwa ndiye mbunge wa Karatu. Huyu wa leo nina shaka kama ndiye shujaa wetu, vinginevyo mtu kama Zitto anithibitishie tofauti.
 
Huna IMANI na Kieleweke?
Mbona jamaa amekuwa akituletea issues kibao hapa na wewe huulizi?
Whats up man.
 
I hope wapiganaji wengine hata ambao hawako bungeni wamo humu.
inatia moyo kuona Kuwa askari wetu alio mstari wa mbele wanapita humu, hii ni reflection ya jamii yetu hasaa.
 
Mushi,

Alichoona Kieleweke ni Dr W Slaa akisoma hapa JF. What if it is Wangwe in disguise !
 
dr. Slaa karibu sana na tupo pamoja nawe kuwaondoa mafisadi hapa TZ. Tunataka nchi yetu yenye neema kwa wanachi wote na siyo kwa baadhi tu ( mafisadi waliokubuhu)
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom