Dr. Slaa aingilia kati Uchaguzi wa BAVICHA; Magazeti yalalamika

Hii habari kaandika yeye mwenyewe na kujijibu kwa kujiita ANONY.

Siyo gazeti hilo ila ni BLOG.......

Jamaa Msh***** sana huyu kwa kutumia jina la MAJIRA na kudanganya watu hapa....

Habari ipo hapa: GAZETI HURU LA KILA SIKU:: Heche aibuka kidedea BAVICHA

MAJIRA+MASTER+HEAD2.jpg

kishongo ni %$%&$ sana hii ni blog yake hlf amecopy msg aliyoituma huko na kuja kuipost hapa
2 Maoni:
Anonymous said...

hakuna kitu hapo.hebu angalia hii undugu,kujuana, Rushwa na Viongozi kupanga Safu yao. Hawa wa Mbowe, hawa wa Zito. Waliobaki lazima walikuwa wa Slaa. angalia pia hili CHADEMA kila siku kelele kuhusu Rushwa, hivi kweli Mtu kama Mbowe ataacha hiyo? kama kwenye kampuni zake halipi kodi na kwenye Chama anawachakachua kwa kuwauzia Magari Chakavu itakuwa kwenye Uchaguzi wa Vijana? hakuna Demokrasia ndani ya Chadema ni Uhuni tu na Undugu uliojaa huko. Watanzania hatuwezi kufanya kosa kuwaweka Madarakani Chama kama hiki. Mbona Visiwani hamtii Mguu huko? inaeleweka Wazanzibar hawataki ubabaishaji walishawakataa Mapeema kabisa. hiyo pia inawanyima sifa ya kutawala. haya ni Machache tu, Siri na Mambo wanayoyafanya tunayo na tunayajua. 2015 kiboko ni kama 2010.
May 30, 2011 12:02 AM

Daaaah! Chadema kibiko! kweli DK Slaa angepewa nchi angeinyoosha!!
Good slaa!
Yaanipamoja nakufuatwafuatwa koote huku chadema imeweza kufanya uchaguziwake vema!....
hizi zingine porojoza wanamagamba!...walitaka apewe uenyekiti mtu asiejulikana ili waingize mtu wa TISS!!!
Kwa haliilvyolazima wamchague mtu wanaemjua vema kukwepamtego wa mafisadi!

HATIMAYE uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) ulimazika jana kwa kumpata Bw. John Heche kuwa Mwenyekiti wa umoja huo.

Pamoja na kupatika kwa kiongozi huyo, uchaguzi huo uligubikwa na mizengwe mbalimbali ikiwemo rushwa na mambo ya 'kujuana' yaliyooneshwa wazi na viongozi wa chama hicho.

Kwa mujibu wa uchuguzi uliofanywa na Majira juzi usiku, uchaguzi huo ulifanyika huku kukiwa na makundi matatu, makundi hayo ni yale yanayomuunga mkono Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Zitto Kabwe na lile lisilomuunga mkono mtu yeyote katika chama hicho.

Uchunguzi huo ulibaini kuwa kundi linalomuunga mkono, Bw. Mbowe ndilo lilokuwa na nguvu zaidi na ndilo lilochukua kiti hicho kutokana na mwanzilishi wa chama hicho, Bw. Edwin Mtei kuliunga mkono kwa asilimia mia.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya Baraza la Wazee kilidokeza kuwa, maamuzi ya kufanya uchunguzi wa wagombea yalifikiwa baada ya kugopa kivuli cha Bw. Zitto ambaye ameonekana kuungwa mkono na vijana wengi ndani ya chama hicho.

Kilisema kuwa baada ya kubaini uwezekano wa kundi hilo kushinda, baraza la wazee lilikubaliana kutafuta mambo yatakayowamaliza wagombea hao ili wasipitishwe katika kugombea kiti hicho.

"Ndugu yangu napenda kusema kuwa chama hiki sasa kinaenda pabaya walitafuta kila njia ya kuwamaliza vijana na njia waliyoipata ni kuwatutafutia tuhuma zitakazowafanya waondoke katika kuwania nafasi hiyo...lakini tulipigana na ikashindikana," alisema mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo.

Alieleza kuwa tuhuma hizo ni kundi hilo kutaka kuunganisha nguvu katika uchaguzi huo ili kumpigia kura mtu moja jambo ambalo kamati ya wazee ilipingana na suala hilo ikidai kuwa ni jambo linalowagawa vijana ndani ya chama.

Chanzo hicho kilisema kuwa katika uchaguzi wowote makundi lazima yawepo ndo maana mgombea hawezi kupata kura kwa asilimia mia moja hata akiwa pekee yake.

Alisema tuhuma nyingine zilizofanya kuenguliwa kwa wagombea hao ni kupokea wajumbe kutoka Zanzibar jambo ambalo halikuwa na ukweli wowote lakini kutokana na mizengwe iliyoandaliwa na kamati hiyo ilibidi watu hao waadhibiwe.

Alisema kuwa tuhuma nyingine ilikuwa ni kupiga kampeni kabla ya muda uliopangwa na tume hiyo hali iliyosababisha kuenguliwa dakika za mwisho katika uchaguzi huo.

"Tuhuma nyingine iliyoelezwa ni wagombea hao kutaka kupindua chama hicho kwa kuhamisha agenda za chama hicho na wengine walihofiwa kuwa ni usalama wa taifa," kilisema chanzo chetu.

Hata hivyo Mjumbe huyo wa baraza la wazee alisema kwa upande wa Bw. Heche nako kulikuwa na tuhuma za kupokea wajumbe ambao kamati haikutaja kuwa wanatoka katika mkoa upi lakini alijitetea kuwa ni ndugu zake.

"CHADEMA tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anapokosea tunataka awajibishwe, sisi leo mtu anakosea wakati wa mchakato wa uchaguzi lakini tunasema tunafanya uchunguzi je akipata madaraka tunamchukulia hatua gani kwani atakuwa tayari amepata madaraka," kilisema chanzo.

Chanzo hicho kiliendelea kuhoji ni kwa nini mgombea huyo aachwe na kuchukua madaraka huku akiwa na tuhuma hivyo akataka haki itendeke kwa wote.

Naye Tumaini Makene anaripoti kuwa;

Kamati ndogo maalum, kwa ajili ya uchunguzi wa uchaguzi huo iliyoundwa na kamati kuu ya chama hicho ilibaini kuwepo kwa vitendo vichafu ikiwemo baadhi ya wagombea kutaka kuundwa makundi ili kudanganya wapiga kura kwa nia ya kutaka ashinde mtu wanayemtaka kwa hila zao.

Akizungumza na majira jana akiwa katika uchovu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, pamoja na kutotaka kuzungumzia tuhuma hizo za rushwa kwa undani akisema "mengine yanahitaji maamuzi ya juu", alisema kuwa wagombea hao watatu walioenguliwa baada ya kuthibitisha kuwa wamekwenda kinyume na katiba na kanuni za chama, kifungu cha 10, wamekiri pia kuwa wao walijihusisha kutengeneza agenda ya BAVICHA.

"Sasa hilo ni suala kubwa agenda ya BAVICHA ni suala la mkutano na haliwezi kuwa la wao watatu lakini walibainika kujihusisha na kundi la Bw. Habib Machange ambapo ilibidi chama kiingie gharama ikiwemo wajumbe wa kamati hizo kufanya kazi tangu saa saba usiku wa juzi mpaka asubuhi jana na baadhi ya wajumbe walishindwa kurejea kwao," alisema Dkt. Slaa.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa Majira ilibainika kuwa mmoja wa wabunge wa chama hicho alijihusisha na kusimamia vikao vya usiku wa manane vilivyokuwa vikitumika kuwalubuni wajumbe kugawa fedha, kuwanunulia pombe usiku wa kuamkia uchaguzi akitaka kuweka mtandao unaodaiwa kuwa na lengo la kusambaratisha chama hicho.

Mbunge huyo machachari kutoka Kanda ya ziwa ametajwa pia kutoa udhamini wa mmoja wa mgombea aliyeenguliwa kwa lengo hilo ambapo imeelezwa kuwa suala lake pamoja na vituko vingine vitafikishwa mbele ya Kamati Kuu kwa maamuzi zaidi.

Alipoulizwa juu ya tuhuma kwa mbunge huyo (jina tunalo), Dkt. Slaa hakuwa tayari kulizungumzia na kusema kuwa liko ngazi ya juu ya kamati kuu.

Wakati hayo yakiendelea Bw. Heche alisema yuko tayari kufanya kazi katika nafasi hiyo akishirikiana na wenzake ili BAVICHA iwe sauti ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge.

Akizungumza na majira jana, Bw. Heche alisema kuwa BAVICHA itasimama kwa maslahi ya nchi na chama hicho kwa jitihada za kuchukua dola kwa ridhaa ya wananchi.

Bw. Heche alipata kura 147 sawa na asimilia 56 ya kura zote zilizopigwa 267 ambapo kura tatu ziliharibika.

Walioenguliwa katika uchaguzi huo ni Greyson Nyakarungu, Mwampamba na Bernard Saanane.

Source: GAZETI MAJIRA.

Comment iliyotolewa na anonymous:

Hakuna kitu hapo.hebu angalia hii undugu,kujuana, Rushwa na Viongozi kupanga Safu yao. Hawa wa Mbowe, hawa wa Zito. Waliobaki lazima walikuwa wa Slaa. angalia pia hili CHADEMA kila siku kelele kuhusu Rushwa, hivi kweli Mtu kama Mbowe ataacha hiyo? kama kwenye kampuni zake halipi kodi na kwenye Chama anawachakachua kwa kuwauzia Magari Chakavu itakuwa kwenye Uchaguzi wa Vijana? hakuna Demokrasia ndani ya Chadema ni Uhuni tu na Undugu uliojaa huko. Watanzania hatuwezi kufanya kosa kuwaweka Madarakani Chama kama hiki. Mbona Visiwani hamtii Mguu huko? inaeleweka Wazanzibar hawataki ubabaishaji walishawakataa Mapeema kabisa. hiyo pia inawanyima sifa ya kutawala. haya ni Machache tu, Siri na Mambo wanayoyafanya tunayo na tunayajua. 2015 kiboko ni kama 2010.

Another PASUA KICHWA in JF.

Hii imenipa faraja sana. Kwa mara ya mwisho katika nchi hii,kubahatika kuwa na KIONGOZI mwenye uthubutu wa "kuchafua hali ya hewa" ya kikao cha kamati kuu kwa lengo la kung'oa ubaradhuli na kuweka mambo sawa ilikua mwaka 1995 pale chimwaga Dodoma. Wakati huo Mwalimu J.K Nyerere "alitibua" kwelikweli "hali ya hewa" kwa kauli yake hii,hapa ninamnukuu:

"Jina la John limo humo?..nauliza tena jina la John limo?...kama limo,kadi yangu hii hapa mie narudi zangu Butiama"

The rest is history.
Baada ya hapo ndipo tukaanza kuwa na vikao vya uteuzi vya kinyang'au nyang'au na mitandao iliyopelekea kuwa na serikali mufilisi hii tuliyonayo leo. Kisa, che Nkapa aliogopa "kuchafua hali ya hewa"

Lipi jina lina mantik kati ya BAVICHA NA UV-CCM

BAVICHA Kwa kirefu ni Baraza la Vijana Chadema
UV-CCM Kwa kirefu ni Umoja wa Vijana CCM

ok UMOJA...VS BARAZA...

It is the content that counts!

kishongo ni %$%&$ sana hii ni blog yake hlf amecopy msg aliyoituma huko na kuja kuipost hapa
2 Maoni:
Anonymous said...

hakuna kitu hapo.hebu angalia hii undugu,kujuana, Rushwa na Viongozi kupanga Safu yao. Hawa wa Mbowe, hawa wa Zito. Waliobaki lazima walikuwa wa Slaa. angalia pia hili CHADEMA kila siku kelele kuhusu Rushwa, hivi kweli Mtu kama Mbowe ataacha hiyo? kama kwenye kampuni zake halipi kodi na kwenye Chama anawachakachua kwa kuwauzia Magari Chakavu itakuwa kwenye Uchaguzi wa Vijana? hakuna Demokrasia ndani ya Chadema ni Uhuni tu na Undugu uliojaa huko. Watanzania hatuwezi kufanya kosa kuwaweka Madarakani Chama kama hiki. Mbona Visiwani hamtii Mguu huko? inaeleweka Wazanzibar hawataki ubabaishaji walishawakataa Mapeema kabisa. hiyo pia inawanyima sifa ya kutawala. haya ni Machache tu, Siri na Mambo wanayoyafanya tunayo na tunayajua. 2015 kiboko ni kama 2010.
May 30, 2011 12:02 AM

Hii si blog ya mtu, ni ya gazeti.
Mbona unapagawa na hii habari?
Ulidhani cdm na viongozi wake ni wasafi??

KWANINI
1. Jambo leo hawajaandika hii habari?
2. UHURU hawajaandika hizi habari za vurugu kwenye hicho kikao?
3. habarileo hawaja gusia hata kidogo?
3. nao MAJIRA hawajagusia hili suala?
Mpaka hapa MWANANCHI wamewasibitishia wale walio kuwa hawaamini kwamba ''MWANANCHI IMEPOTEZA MWELEKEO''.

HATIMAYE uchaguzi wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) ulimazika jana kwa kumpata Bw. John Heche kuwa Mwenyekiti wa umoja huo.

Pamoja na kupatika kwa kiongozi huyo, uchaguzi huo uligubikwa na mizengwe mbalimbali ikiwemo rushwa na mambo ya 'kujuana' yaliyooneshwa wazi na viongozi wa chama hicho.

Kwa mujibu wa uchuguzi uliofanywa na Majira juzi usiku, uchaguzi huo ulifanyika huku kukiwa na makundi matatu, makundi hayo ni yale yanayomuunga mkono Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Bw. Zitto Kabwe na lile lisilomuunga mkono mtu yeyote katika chama hicho.

Uchunguzi huo ulibaini kuwa kundi linalomuunga mkono, Bw. Mbowe ndilo lilokuwa na nguvu zaidi na ndilo lilochukua kiti hicho kutokana na mwanzilishi wa chama hicho, Bw. Edwin Mtei kuliunga mkono kwa asilimia mia.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya Baraza la Wazee kilidokeza kuwa, maamuzi ya kufanya uchunguzi wa wagombea yalifikiwa baada ya kugopa kivuli cha Bw. Zitto ambaye ameonekana kuungwa mkono na vijana wengi ndani ya chama hicho.

Kilisema kuwa baada ya kubaini uwezekano wa kundi hilo kushinda, baraza la wazee lilikubaliana kutafuta mambo yatakayowamaliza wagombea hao ili wasipitishwe katika kugombea kiti hicho.

"Ndugu yangu napenda kusema kuwa chama hiki sasa kinaenda pabaya walitafuta kila njia ya kuwamaliza vijana na njia waliyoipata ni kuwatutafutia tuhuma zitakazowafanya waondoke katika kuwania nafasi hiyo...lakini tulipigana na ikashindikana," alisema mmoja wa wajumbe wa kamati hiyo.

Alieleza kuwa tuhuma hizo ni kundi hilo kutaka kuunganisha nguvu katika uchaguzi huo ili kumpigia kura mtu moja jambo ambalo kamati ya wazee ilipingana na suala hilo ikidai kuwa ni jambo linalowagawa vijana ndani ya chama.

Chanzo hicho kilisema kuwa katika uchaguzi wowote makundi lazima yawepo ndo maana mgombea hawezi kupata kura kwa asilimia mia moja hata akiwa pekee yake.

Alisema tuhuma nyingine zilizofanya kuenguliwa kwa wagombea hao ni kupokea wajumbe kutoka Zanzibar jambo ambalo halikuwa na ukweli wowote lakini kutokana na mizengwe iliyoandaliwa na kamati hiyo ilibidi watu hao waadhibiwe.

Alisema kuwa tuhuma nyingine ilikuwa ni kupiga kampeni kabla ya muda uliopangwa na tume hiyo hali iliyosababisha kuenguliwa dakika za mwisho katika uchaguzi huo.

"Tuhuma nyingine iliyoelezwa ni wagombea hao kutaka kupindua chama hicho kwa kuhamisha agenda za chama hicho na wengine walihofiwa kuwa ni usalama wa taifa," kilisema chanzo chetu.

Hata hivyo Mjumbe huyo wa baraza la wazee alisema kwa upande wa Bw. Heche nako kulikuwa na tuhuma za kupokea wajumbe ambao kamati haikutaja kuwa wanatoka katika mkoa upi lakini alijitetea kuwa ni ndugu zake.

"CHADEMA tumekuwa mstari wa mbele kuhakikisha kuwa kigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anapokosea tunataka awajibishwe, sisi leo mtu anakosea wakati wa mchakato wa uchaguzi lakini tunasema tunafanya uchunguzi je akipata madaraka tunamchukulia hatua gani kwani atakuwa tayari amepata madaraka," kilisema chanzo.

Chanzo hicho kiliendelea kuhoji ni kwa nini mgombea huyo aachwe na kuchukua madaraka huku akiwa na tuhuma hivyo akataka haki itendeke kwa wote.

Naye Tumaini Makene anaripoti kuwa;

Kamati ndogo maalum, kwa ajili ya uchunguzi wa uchaguzi huo iliyoundwa na kamati kuu ya chama hicho ilibaini kuwepo kwa vitendo vichafu ikiwemo baadhi ya wagombea kutaka kuundwa makundi ili kudanganya wapiga kura kwa nia ya kutaka ashinde mtu wanayemtaka kwa hila zao.

Akizungumza na majira jana akiwa katika uchovu, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dkt. Wilbroad Slaa, pamoja na kutotaka kuzungumzia tuhuma hizo za rushwa kwa undani akisema "mengine yanahitaji maamuzi ya juu", alisema kuwa wagombea hao watatu walioenguliwa baada ya kuthibitisha kuwa wamekwenda kinyume na katiba na kanuni za chama, kifungu cha 10, wamekiri pia kuwa wao walijihusisha kutengeneza agenda ya BAVICHA.

"Sasa hilo ni suala kubwa agenda ya BAVICHA ni suala la mkutano na haliwezi kuwa la wao watatu lakini walibainika kujihusisha na kundi la Bw. Habib Machange ambapo ilibidi chama kiingie gharama ikiwemo wajumbe wa kamati hizo kufanya kazi tangu saa saba usiku wa juzi mpaka asubuhi jana na baadhi ya wajumbe walishindwa kurejea kwao," alisema Dkt. Slaa.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa Majira ilibainika kuwa mmoja wa wabunge wa chama hicho alijihusisha na kusimamia vikao vya usiku wa manane vilivyokuwa vikitumika kuwalubuni wajumbe kugawa fedha, kuwanunulia pombe usiku wa kuamkia uchaguzi akitaka kuweka mtandao unaodaiwa kuwa na lengo la kusambaratisha chama hicho.

Mbunge huyo machachari kutoka Kanda ya ziwa ametajwa pia kutoa udhamini wa mmoja wa mgombea aliyeenguliwa kwa lengo hilo ambapo imeelezwa kuwa suala lake pamoja na vituko vingine vitafikishwa mbele ya Kamati Kuu kwa maamuzi zaidi.

Alipoulizwa juu ya tuhuma kwa mbunge huyo (jina tunalo), Dkt. Slaa hakuwa tayari kulizungumzia na kusema kuwa liko ngazi ya juu ya kamati kuu.

Wakati hayo yakiendelea Bw. Heche alisema yuko tayari kufanya kazi katika nafasi hiyo akishirikiana na wenzake ili BAVICHA iwe sauti ya kupigania maslahi ya wananchi wanyonge.

Akizungumza na majira jana, Bw. Heche alisema kuwa BAVICHA itasimama kwa maslahi ya nchi na chama hicho kwa jitihada za kuchukua dola kwa ridhaa ya wananchi.

Bw. Heche alipata kura 147 sawa na asimilia 56 ya kura zote zilizopigwa 267 ambapo kura tatu ziliharibika.

Walioenguliwa katika uchaguzi huo ni Greyson Nyakarungu, Mwampamba na Bernard Saanane.

Source: GAZETI MAJIRA.

Comment iliyotolewa na anonymous:

Hakuna kitu hapo.hebu angalia hii undugu,kujuana, Rushwa na Viongozi kupanga Safu yao. Hawa wa Mbowe, hawa wa Zito. Waliobaki lazima walikuwa wa Slaa. angalia pia hili CHADEMA kila siku kelele kuhusu Rushwa, hivi kweli Mtu kama Mbowe ataacha hiyo? kama kwenye kampuni zake halipi kodi na kwenye Chama anawachakachua kwa kuwauzia Magari Chakavu itakuwa kwenye Uchaguzi wa Vijana? hakuna Demokrasia ndani ya Chadema ni Uhuni tu na Undugu uliojaa huko. Watanzania hatuwezi kufanya kosa kuwaweka Madarakani Chama kama hiki. Mbona Visiwani hamtii Mguu huko? inaeleweka Wazanzibar hawataki ubabaishaji walishawakataa Mapeema kabisa. hiyo pia inawanyima sifa ya kutawala. haya ni Machache tu, Siri na Mambo wanayoyafanya tunayo na tunayajua. 2015 kiboko ni kama 2010.

Kishongo;

kila napoona treand yako natamani kusoma.uhalisi wako unanieleza wewe ni mtu wa namna gani.jambo linalinishtua zaidi umekuwa ni m,tu wakutolea chadema taarifa,ni matumaini yangu siku yaja majani yote yatateleza na utakiri kwa mdomo wako kuwa viongozi wa chadema ni makini.

uchaguzi siku hizi unapigwa kwa visu na bisibisi. nyie kaka zangu miamba sana.

aliyeleta visu tuambieni ataleta tarime chadema huyo. afadhali mmemchakachua mapema.

hongera CDM kuengua wagombea waliotaka kuleta fujo za CCM ndani ya chama.......hilo haliwezekani kwa wanamagamba

Hongera CDM. Mtego wa Usalama wa Taifa unaopigania MAFISI WA AHADI umeshindwa.
Mumemaliza uchaguzi salama!!!!
Mitego yote ya askari wa kukodi wa Chama Cha Magamba imeshindwa.
HECHE vaa kombati twende vitani. Adui sasa ni dhaifu sana anaweweseka kama hii CRAPP iliyoletwa hapa.

Tungojee uchaguzi mkuu wa cdm tuone watamuundia zengwe gani mhe zitto zuberi kabwe maana naona cdm na wao wamekuwa wazee wa "zengwe"

Hongera CDM. Mtego wa Usalama wa Taifa unaopigania MAFISI WA AHADI umeshindwa.
Mumemaliza uchaguzi salama!!!!
Mitego yote ya askari wa kukodi wa Chama Cha Magamba imeshindwa.
HECHE vaa kombati twende vitani. Adui sasa ni dhaifu sana anaweweseka kama hii CRAPP iliyoletwa hapa.
Mkuu unaweza kufafanua zaidi?

Back
Top Bottom