Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

Hawa vijana wanaonyesha heshima kubwa kwa Katibu Mkuu wao unaweza kusoma nyuso zao
DSC00452.JPG
 
Ktika ziara yake hapo kesho atahutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya shule ya Msingi nzovywe. Kwa hakiaka kesho nzovwe hapatosha.:lol:

Sina shaka mkoa wa mbeya unatakuwa kama mikoa ya mwanza na arusha yaani upcoming cities are resenting to opposition parties kwa kuonyesha mfano wa kuleta upinzani wa kweli siyo kila siku ccm.
 
Huu ni wakati wa kujikita zaidi na kuweka mizizi zaidi kwenye ngome, kwani adui (CCM) japo ni mgonjwa lakini bado haishiwi mbinu...
Angalia alichofanya Fisadi ngeleja Kanda ya ziwa!
Tunakutakia kila heri Dr.
kweli kabisa CCM is like a dying horse it kicks very hard, so CDM lazima kuchukua kila tahadhari juu ya huyu farasi anayekufa maana teke lake la mwisho linaweza kuwa baya sana
 
Dr. Slaa- Rais anayeongoza nchi kutoka kwenye mioyo ya watu.

Na huo ndio mtaji wa Watanzania wote ndani ya CHADEMA. Hivi umeshawahi kumsikiliza JK alafu baada ya nusu saa umsikilize Dr Slaa ? Tofauti kubwa utaiona maana ni sawa na kuangalia mlima kilimanjaro na kichuguuuu ! Dr Slaa ana uwezo wa kuwaambia watu kesho wote shambani tukalime na usikute hata mtoto nyumbani lakini JK hata akisema neno lake usimwamini ! Akikuambia siwajui hawa basi ujue ni kinyume chake.....................
 
Sina shaka mkoa wa mbeya unatakuwa kama mikoa ya mwanza na arusha yaani upcoming cities are resenting to opposition parties kwa kuonyesha mfano wa kuleta upinzani wa kweli siyo kila siku ccm.
dhubutuni kukanyaga Tanga muone
 
Mkuu Ndyali, vipi mbona hutuapdate?

Samahani Makamanda, Ngereja aliondoka na megawati zake. Hatahivyo, haya ndiyo yaliojili kwenye mkutano katika viwanja vya shule ya Msingi Nzovywe:
1. Mahudhurio ilikuwa ni mafuriko ya wanaMbeya kama kawaida yao ingawa mkutano ulifanyika nje kidogo ya mji
2. Dr. Slaa aliwaeleza wananchi kusudio la Magamba kuizuia CHADEMA kuwaelimisha wananchi juu ya mchakato wa katiba Mpya kupitia sheria mchakato wa katiba mpya. Na akasema polisi wawe tayari kumpigalisasi kwa kosa la kuwaelimisha wananchi juu yakatiba mpya, ndipo umati wa wanaMbeya wakamjibu kuwa kama watampiga risasi akiwa Mbeya, Mbeya yote itachimbika.
2. Dr. Slaa amemjibu Lowasa kuhusu kauri yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, amesema Lowasa hana usafi wala Uhalali wa kunyoshe kidole CHADAMA.
3. Kuhusu JK Kusingizia uchumi wa dunia kwa matatizo ya TZ amesema ni kwa sababu amaishia fikra na uwezo wa ubunifu

Samahani simu yangu ya mchina haikuseve picha nilizopiga, ninaamini kuna makamanda wengine waliokuwepo wanaweza kutuwekea picha humu.
 
kiongozi wa watu hutoka ndani ya mioyo ya watu.Mtoto wa maskini mwenzetu ambaye yupo tayari kula mihogo ikulu kuliko kuona watu wake wanateseka.Wana wa Mbeya ni fursa nyingine kumweleza shida na matatizo yenu lukuki yanayo wakabili.Changamoto atakayo itoa kwenye serikali legelege inatosha kuwa moto na mwiba mkali kwa watawala dhaifu wenye fikra mgando.Aluta continua mapambano ndo yanazidi kushika kasi
 
Samahani Makamanda, Ngereja aliondoka na megawati zake. Hatahivyo, haya ndiyo yaliojili kwenye mkutano katika viwanja vya shule ya Msingi Nzovywe:
1. Mahudhurio ilikuwa ni mafuriko ya wanaMbeya kama kawaida yao ingawa mkutano ulifanyika nje kidogo ya mji
2. Dr. Slaa aliwaeleza wananchi kusudio la Magamba kuizuia CHADEMA kuwaelimisha wananchi juu ya mchakato wa katiba Mpya kupitia sheria mchakato wa katiba mpya. Na akasema polisi wawe tayari kumpigalisasi kwa kosa la kuwaelimisha wananchi juu yakatiba mpya, ndipo umati wa wanaMbeya wakamjibu kuwa kama watampiga risasi akiwa Mbeya, Mbeya yote itachimbika.
2. Dr. Slaa amemjibu Lowasa kuhusu kauri yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, amesema Lowasa hana usafi wala Uhalali wa kunyoshe kidole CHADAMA.
3. Kuhusu JK Kusingizia uchumi wa dunia kwa matatizo ya TZ amesema ni kwa sababu amaishia fikra na uwezo wa ubunifu

Samahani simu yangu ya mchina haikuseve picha nilizopiga, ninaamini kuna makamanda wengine waliokuwepo wanaweza kutuwekea picha humu.

Asante sana mkuu.Tumekupata!
 
Back
Top Bottom