Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa aingia Mbeya na kupokelewa na wananchi kwa hamasa kubwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndyali, Jan 10, 2012.

 1. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Ktika ziara yake hapo kesho atahutubia wananchi wa Mbeya katika viwanja vya shule ya Msingi nzovywe. Kwa hakiaka kesho nzovwe hapatosha.:lol:
   
 2. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natamani kuwepo ila basi tu! Napenda straegy ya CDM sana
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Dr. Slaa- Rais anayeongoza nchi kutoka kwenye mioyo ya watu.
   
 4. M

  MPG JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbeya ni ngome yetu kubwa Chadema,leo tu mji ulikuwa na shamrashamra kila kona,kweli kesho ni funiko bovu,magamba kwisha habari yao.
   
 5. k

  kajunju JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Najua atatikisa mbeya dr wa ukweli.leo kandoro na rpc hawalali kwani wanajua jamaa atawalipua kwa yale maafa na maandamano ya mbeya kuwahamisha machinga
   
 6. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 659
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Mlioko huko msisahau kutuwekea picha basi na sisi tuone yaliyojili huko
   
 7. M

  Malova JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  This is the president we have right now
   
 8. cooper

  cooper JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 394
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Msisahau kutujuza yatakayojiri hapo kesho.
   
 9. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,066
  Trophy Points: 280
  Huu ni wakati wa kujikita zaidi na kuweka mizizi zaidi kwenye ngome, kwani adui (CCM) japo ni mgonjwa lakini bado haishiwi mbinu...
  Angalia alichofanya Fisadi ngeleja Kanda ya ziwa!
  Tunakutakia kila heri Dr.
   
 10. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ndio Raisi wangu huyu ninaemtambua kwa kweli na zaidi nampenda sana Dr.Slaa,Mungu aendelee kukulinda Mh Raisi wangu ili uendee kupeperusha bendera ya CDM 2015,ni mtizamo wangu tu huu wakuu
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Saa hii wanahaha sana hao walinzi wa ccm, wanogopa hiyo saa atakayoongea Dr Slaa. Wanaomba Mungu iwe ndoto lakini ni kweli.


  Magari ya kuwasha now yanapashwa moto wakati kuna wanaolala nje Baada ya mabom ya mbagala, gongolamboto na mafuriko mpaka leo.
   
 12. Chakunyuma

  Chakunyuma JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 811
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona ule usemi wa vyama vya msimu hausikiki tena. Hongera chadema.
   
 13. sekulu

  sekulu JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Hehehehehehe, kila lakhe....
   
 14. A

  ANTA Member

  #14
  Jan 10, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu. Hivi sasa moto unaendeleakuwashwa kila mahali. Kikubwa CDM isijisahau. Ikaze buti 2015 si mbali. Ila TUME HURU NI LAZIMA.:A S 465:
   
 15. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Hongera Kamanda; Tuko pamoja na MUNGU akubariki
   
 16. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wadau angalieni jinsi Dr Slaa alivyolakiwa akiwa anaingia eneo la uyole akielekea mjini mbeya majira ya saa 12 jioni leo 10.01.2012. Picha sio nzuri ni ya simu
   

  Attached Files:

 17. j

  jigoku JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kila la heri rais wangu pia,tuko pamoja,watu wako wanakuangalia kwa macho ya huzuni na wanamatuamini na ukombozi ujao,wanategemea kuondokana na udhalimu wa wakoloni weusi,angalia kama hivi leo watoto wengine wamefukuzwa chuo na wengine kusimamishwa masomo kwa muda usiojulikana,angalia juzi Madaktari walivyofunkuzwa wote hawa wanakuangalia kwa jicho la huzuni maana hawana matumaini chini ya chama cha magamba -CCM wakiongozwa na jeyi keyi.
  Endelea hivyo rais wangu Dr Slaa kutoa hamasa na elimu ya uraia,endelea kufichua ufisadi wote na madhara ya ufisadi ili hata wale wanaolaghaiwa kwa kofia na khanga basi wapate kuokoka kutoka kifungoni.
  Wakuu mlioko Mbeya msisahau kutjuza na mkituwekea picha za matukio yote,mtujuze kuanzia asubuhi hali ilivyo na hadi mkutanoni.
  Mungu atupe nguvu sote,pamoja tutashinda
   
 18. B

  Big man Senior Member

  #18
  Jan 10, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wakuu hongereni sana wa2wahuko kwaku2pa sapoti, wahamasisheni naamabao hawaja elimika nao wauone mwanga watoke kwenye giza cdm juuu... Juuuuzaidiii.... Kesho m2juze yatakayo jiriwakuu,
   
 19. e

  environmental JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Magamba ya yatatoka tu safari hii hatuna mchezo.sisi sio nguvu ya soda kama chama cha mafisadi walivyokuwa wanasema.Vijana tunataka mabadiliko .Katiba mpya na TUME HURU YA UCHAGUZI,alafu president slaa tuachie huku kwenye kutia kura,tuziingize kura zetu .
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  2015 huku el kule slaa! Wote wanapendwa kanda ya ziwa.
   
Loading...