Dr. Slaa afananishwa na fisi aliyejivika mapembe

Pole sana Mkuu. Kinana amewashika pabaya sana. Mtu mmoja tu anawafanya UKAWA wakose usingizi

Abdulrahman Kinana ni mmoja wa wanasiasa smart sana kuwahi kutokea Tanzania, ndio maana akina Mzee Slaa kwenye mikutano ya UKAWA hawaongelei kingine zaidi ya Kinana.
 
Abdulrahman Kinana ni mmoja wa wanasiasa smart sana kuwahi kutokea Tanzania, ndio maana akina Mzee Slaa kwenye mikutano ya UKAWA hawaongelei kingine zaidi ya Kinana.
Hakika Mkuu. Kinana ni aina ya viongozi ambao ni Unique. Tangu awe Katibu Mkuu wa CCM, ushindi kwa kila uchaguzi umekuwa ni kawaida
 
kweli ccm hawana sera badala watengeneze hoja wanambwelambwela. Nimegundua huyu Kina Ana na yule mwenzake yule Munape na Mwigul wa nchemba hawana akili kabisa ccm hovyo kabisa.

Haa ha hayo majina ulivyochapa tuu mim nimeachia cheko moja matata
 
Kwani nani alimwambia ukawa hawataki kuwanyanganya madaraka.. anafikiri wanawasindikiza tu..!!
 
Pia Dr silaha amewashika pabaya ndo maana hamuishi kumtaja kwenye mikutano
Abdulrahman Kinana ni mmoja wa wanasiasa smart sana kuwahi kutokea Tanzania, ndio maana akina Mzee Slaa kwenye mikutano ya UKAWA hawaongelei kingine zaidi ya Kinana.
 
Katika mkutano wa chama cha mapinduzi unaoendelea katika halmashauri ya wilaya ya Iramba.Mh .Abraham Kinana amesimulia hadithi ambayo imemfananisha Dr. Slaa na fisi anayejivika pembe.Pia amehainisha kwamba UKAWA ni genge la wanyang'anyi wa madaraka. Je ni kweli Dr. Slaa ni sawa na fisi kati ya wanyama wenye pembe?
Katika vitu ambavyo bongo tupo nyuma ni suala la siasa. Kila mtu ataongea mengi kuhusiana na mwenzake na yote yatokayo mdomoni juu ya mwngne ni mabaya tu. Kwa hali hii unaemchukia hata kama anafanya mema atakuwa tu mbaya kwako we na wafuasi wako. Leo yeye amemfananisha mwenzake na fisi, kesho na yeye atafananishwa na nguruwe au mnyama mwngne yoyote mwnye picha mbaya kwa jamii.Haya nikuji, kwangu mimi mwanasiasa mwana siasa tu hasa kwa hapa tz. Wajifananishe na wanyama huko majukwaani tuendelee kumeza mate majumbani kwa matatizo lukuki tunayoyapata. Dr kuitwa au kutoitwa fisi haitabadili ukweli kama siyo fisi.
 
Hivi lizabon na msalani ni watu wawili tofaut?
Hakika Mkuu. Kinana ni aina ya viongozi ambao ni Unique. Tangu awe Katibu Mkuu wa CCM, ushindi kwa kila uchaguzi umekuwa ni kawaida
 
Sasa kama Slaa ni Fisi sijui hao maCCCM watakuwa ni akina nani?? Kutokana na hiyo picha hapo juu nafikiri Kinana anahitaji matibabu kabla maji hayajazidi unga. Wamkumbushe kuwa hapo Singida siyo mbali sana na Mirembe!!
 
Katika mkutano wa chama cha mapinduzi unaoendelea katika halmashauri ya wilaya ya Iramba.

Mh .Abraham Kinana amesimulia hadithi ambayo imemfananisha Dr. Slaa na fisi anayejivika pembe.

Pia amehainisha kwamba UKAWA ni genge la wanyang'anyi wa madaraka.

Je ni kweli Dr. Slaa ni sawa na fisi kati ya wanyama wenye pembe?
Shida ya wezi wa mali ya umma siku zote wanawaza mambo ya kuingia msituni tu ,si rahisi kumkumbuka fisi labda unaishi mazingira hayo,
Mpango mkakati wameanzs mapema komba amesema zikipita serikali tatu anaingia msituni na green guard ukitawala muda mrefu ukazoea mazingira unasahau kuwa kuna siku utaacha ofisi,kwa hali ilivyofikia maneno ya mfamaji hayaachi kutapatapa!,Tamaa ya madaraka ni mbaya sana,Ukawa imemchanganya akili
 
Kinana ni level nyingine
Level ya mafisadi na haijatokea tangu muue azimio la Arusha lililokataa kuuza rasilimali za nchi,da nakumbuka pale Yesu aliposema" mnapaka makaburi kwa rangi na chokaa huko ndani kuna mifupa" Lini gamba mtalivua? ,au liliishia kwa poor Rostam Azizi?
 
Back
Top Bottom