Dr. Slaa afananishwa na fisi aliyejivika mapembe

Mbona akiende kwa mganga havai kaniki?
kijanaaaa kuna sehemu ukiwa unaenda unatakiwa uvae uhusika wa hyo sehem kwa mfano ukiwa unaenda msikitin huwez enda umevaa bukta lazima uvae kanzu au mavaz ruhusiwa na hyo sehem
ndo alicho kifanya hapo co kuchanganyikiwa tumia akil b4 hujapost tena
HAKISAWA
 
au ndiyo maana yeye na NAPE waliamua kukata KINYWAJI HARAMU ?
 
kijanaaaa kuna sehemu ukiwa unaenda unatakiwa uvae uhusika wa hyo sehem kwa mfano ukiwa unaenda msikitin huwez enda umevaa bukta lazima uvae kanzu au mavaz ruhusiwa na hyo sehem
ndo alicho kifanya hapo co kuchanganyikiwa tumia akil b4 hujapost tena
HAKISAWA
Kuvaa uhusika kinahitajika ki akili walau kidogo
 
kweli ccm hawana sera badala watengeneze hoja wanambwelambwela. Nimegundua huyu Kina Ana na yule mwenzake yule Munape na Mwigul wa nchemba hawana akili kabisa ccm hovyo kabisa.
 
View attachment 160098Hii I nathibitisha kuchanganyikiwa kwa Kinana....

Sikuchanganyikwa bali tusi ya nguoni na usanii wa kifedhuli kwa wasikilizaji!

Kweli watanzania tulikofikia ni kubaya! Mpaka kufaa kanda mbili ili mradi aoneka kama wanalalahoi siyo!
Nitashawisha kuwa hakuwatusi kirejareja watazamaji na wasikilizaji wake kama hana fangasi miguuni !
 
Wala haishangazi Kinana kusimulia mambo yanayoendana na 'pembe' maana ni biashara yake. Kwa hiyo ile kitu inayoitwa kisaikolojia 'superego' ilikuwa inatoa hukumu kwake ili ajisema kama ni mhusika wa mara zote na hiyo mamijitu iitwayo pembe ziwe za fisi, au za swala yote anayajua yeye huyooooo! Kamwe asisifiwe kwa kumaliza pembe za wanyama wetu mtu huyu.
 
kijanaaaa kuna sehemu ukiwa unaenda unatakiwa uvae uhusika wa hyo sehem kwa mfano ukiwa unaenda msikitin huwez enda umevaa bukta lazima uvae kanzu au mavaz ruhusiwa na hyo sehem
ndo alicho kifanya hapo co kuchanganyikiwa tumia akil b4 hujapost tena
HAKISAWA

Wewe nawe ni chizi kabisa,kuvaa uhusika ni hvyo?anaowahutubia mbona wako na viatu?KINANA AACHA UTAAHIRA NA TUNAOMBA SANA AWAACHE TEMBO WETU TAFADHALI.
 
Kinana amedata na ndiyo maana kila anachoropoka kikwete hatekelezi,anamuona mwehu tu huyo,na hii yote ni laana ya watanzania kuwaibia meno ya tembo.
 
Back
Top Bottom