Dr. Slaa afananishwa na fisi aliyejivika mapembe

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
26,117
49,473
Katika mkutano wa chama cha mapinduzi unaoendelea katika halmashauri ya wilaya ya Iramba.

Mh .Abraham Kinana amesimulia hadithi ambayo imemfananisha Dr. Slaa na fisi anayejivika pembe.

Pia amehainisha kwamba UKAWA ni genge la wanyang'anyi wa madaraka.

Je ni kweli Dr. Slaa ni sawa na fisi kati ya wanyama wenye pembe?
 
image.jpg Hii I nathibitisha kuchanganyikiwa kwa Kinana....
 
Yeye na interahamwe ndo wana majina ya wanyama wanaitwa ukoo wa panya kwa sababu ya wizi na ufisadi. Labda wao ndo mafisi.
 
Katika mkutano wa chama cha mapinduzi unaoendelea katika halmashauri ya wilaya ya Iramba..
Mh .Abraham kinana amesimulia hadithi ambayo imemfananisha Dr slaa na fisi anayejivika pembe.
Pia amehainisha kwamba UKAWA ni genge la wanyang'anyi wa madaraka..
Je ni kweli Dr slaa ni sawa na fisi kati ya wanyama wenye pembe?

Mkuu Jawilt, wakati Kinana anamfanaisha Dr. Slaa na fisi aliyejivika pembe. hapa kwenye mkutano, mimi nimemfananisha Kinana na Maccm wenzake na MaShetani waliojivalisha Nepi.
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI EAST and CENTRAL AFRICA KWA SASA , HUYO KINANA PAMOJA NA MAKELELE YAKE YOTE LAKINI HAJULIKANI HATA KWAO ARUSHA !
 
UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI EAST and CENTRAL AFRICA KWA SASA , HUYO KINANA PAMOJA NA MAKELELE YAKE YOTE LAKINI HAJULIKANI HATA KWAO ARUSHA !

akifuatiwa na huyu kwa umaarufu huru wako huo wa viroba.

  • attachment.php

UTAFITI HURU UNAONYESHA KWAMBA DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI EAST and CENTRAL AFRICA KWA SASA , HUYO KINANA PAMOJA NA MAKELELE YAKE YOTE LAKINI HAJULIKANI HATA KWAO ARUSHA !

nakujulikana kote huko anaisaidia nini nchi zaidi ya makelelee tu
 
Back
Top Bottom