Dr. Siame Mbozi Magharibi Apumulia Mashine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Siame Mbozi Magharibi Apumulia Mashine

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Whisper, Nov 1, 2010.

 1. Whisper

  Whisper JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 2, 2009
  Messages: 502
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari zilizopatikana alfajiri hii zinathibitisha ya kuwa hali ya kisiasa kwa Mbunge wa CCM Dr. Siame si nzuri baadaya kuachwa Mbali na Mgombea wa CHADEMA. Figures zitafuata punde!
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupakulie figure please
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  lete fig mkuuu
   
 4. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Huyo alikuwa amekaliwa kooni na jimboni lake ni katika majimbo manne ya Mbeya ambayo CHADEMA wanaweza kushinda. Mengine ni Mbeya mjini ambalo wameshinda, Mbeya vijijini na Mbalali.
   
Loading...