Dr.Shukuru kawambwa na Mulugo mtaua elimu kabisa mpaka kufika 2015

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Naomba nianze na msemo unaotokana na tajiriba zetu.ukiona elimu ghali jaribu ujinga.nimeamua kusema hivi kutokana na kitendo cha wizara ya elimu kushindwa kufuata utaratibu uliokuwa ukitumika siku zote katika usahishaji wa mitíhani ya kitaifa kwa kuwa chukua walimu kutoka sehemu mbalimbali.kilichofanyika mwaka huu wamewachukua walimu kwenye maene tu ambapo mitihani hyo inasahihïshi kwa sababu ya kuogopa gharama ya kuchukua walimu kutoka sehemu za mbali.swali la kujiuliza.Je,ni mambo mangapi katika elimu ambayo yanahitaji gharama kubwa katika kuyafanikisha? Na kama tutaogopa gharama tutaweza kweli kuboresha elimu yetu? Naomba kuwasilisha.
 
Hapa wametumia masaburi kufikiri. Hata hivyo hao mawaziri na wakubwa wao wana shida gani iwapo watoto wao wanasoma nje tena kwa kodi za hao hao wanaowahujumu? Wangependa wengi wawe majuha ili waendelee kuwatawala kama kondoo kama ilivyo sasa.
 
Elimu yetu wanatumia kila njia kuiangamiza hasa kutupatia viongozi wa hii wizara wabovu ambao hawajitambui. Mara shule zinafungwa wanafunzi wanataka kubaka walimu.
 
unategemea nini kutoka vichwa-nazi vya watu wanaoruhusu maswali ya 'chagua jibu sahihi' kwenye mitihani ya somo la hisabati?
 
Taarifa hii sio ya kweli hata kidogo kwani kuna walimu wametoka Mtwara kwenda Marangu na Korogwe kufanya shughuri tajwa. Mtoa mada, sio lazima uchukuliwe wewe kwani kuna walimu wengi wanaoweza kufanya kazi hii!
 
we,ndo hauko sahihi soma vzr post yangu
 
we,ndo hauko sahihi soma vzr post yangu
Nisome kitu gani tena? taarifa ulizotoa sio sahihi kwani mitihani yote ya kitaifa imeshughurikiwa na walimu kutoka sehemu mbalimbali, nimekupa mfano kuwa walimu kutoka Mtwara wamepelekwa mikoa ya Tanga, Kilimanjaro, D'salaam n.k. ambako vituo vipo, sasa uwongo uko wapi hapo?
 
Mbona elim ishakufa mda sana, zahitajika jitihada za nguv kusaidia hili
 
Usiwe ***** we mleta uzi, Upumbavu kwenye elimu alianzisha mtawala 1974 pale alipoamuru mwalimu aliefeli darasa la saba apewe wanafunzi wa darasa la saba awafundishe wafaulu, maarufu sana huo mradi unaitwa UPE kwa watu wazima waliokuwepo wanaelewa! we kinachokuuma ni kukosa iyo per diem kwani miaka yote si walikuwa wakichukua wasahihishaji kutoka maeneo yote mbona bado elimu ipo chini, thibitisha kitaalamu walimu wakitoka maeneo ya karibu kama Dar, Moro,Tanga kusahihisha mtihani elimu itashuka lakini walimu wakitoka Kashaulili sumbawanga, Karagwe, Sumve mbalizi au Songea basi kiwango cha elimu kitapanda!
 
Tatizo watu wanapenda kujiandikia pumba maana anawakandia mawaziri lakiini maoni yake ndiyo hamna kitu kabisa
 
Naomba nianze na msemo unaotokana na tajiriba zetu.ukiona elimu ghali jaribu ujinga.nimeamua kusema hivi kutokana na kitendo cha wizara ya elimu kushindwa kufuata utaratibu uliokuwa ukitumika siku zote katika usahishaji wa mitíhani ya kitaifa kwa kuwa chukua walimu kutoka sehemu mbalimbali.kilichofanyika mwaka huu wamewachukua walimu kwenye maene tu ambapo mitihani hyo inasahihïshi kwa sababu ya kuogopa gharama ya kuchukua walimu kutoka sehemu za mbali.swali la kujiuliza.Je,ni mambo mangapi katika elimu ambayo yanahitaji gharama kubwa katika kuyafanikisha? Na kama tutaogopa gharama tutaweza kweli kuboresha elimu yetu? Naomba kuwasilisha.

Kwa uamuzi uliotolewa na Bunge leo nimeamini kuwa tumeingia rasmi kwenye mkataba wa kujaribu UJINGA MKUBWA
 
elimu ya mtanzania ni ya kikuda.hata hvyo NECTA pia viraza miaka yote kwa nini haukuwa na utaratibu wa kutangaza grad mpy mpaka waje waziweke mwaka jana bila kuwashirikisha wadau wa elimu?
 
Back
Top Bottom