Naomba nianze na msemo unaotokana na tajiriba zetu.ukiona elimu ghali jaribu ujinga.nimeamua kusema hivi kutokana na kitendo cha wizara ya elimu kushindwa kufuata utaratibu uliokuwa ukitumika siku zote katika usahishaji wa mitíhani ya kitaifa kwa kuwa chukua walimu kutoka sehemu mbalimbali.kilichofanyika mwaka huu wamewachukua walimu kwenye maene tu ambapo mitihani hyo inasahihïshi kwa sababu ya kuogopa gharama ya kuchukua walimu kutoka sehemu za mbali.swali la kujiuliza.Je,ni mambo mangapi katika elimu ambayo yanahitaji gharama kubwa katika kuyafanikisha? Na kama tutaogopa gharama tutaweza kweli kuboresha elimu yetu? Naomba kuwasilisha.