Dr. Shika pamoja na kugonga headlines, hafikii hata 1/10 ya kitendo alichowahi kukifanya Morris Sankuu


G

GoLang

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
563
Likes
534
Points
180
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
563 534 180
Pamoja na Dr. Shika kugonga headlines kwa kitendo chake cha kutoa ahadi hewa za kununua nyumba za Lugumi, hafikii hata 1/10 ya kitendo alichowahi kukifanya Msomi Morris Sankuu. Sankuu alizuka miaka ya 1970 kijijini kwetu na kudai kuwa ametokea masomoni Moscow, Urusi. Huyu jamaa alikuwa kila wakati anatembea na matabu makubwa kuliko Dictionary ile ya Kiingereza ya Oxford. Ilikuwa akikutana na mtu mwenye viashiria vya kuwa msomi au mwanafunzi anamwapproach kwa kiingereza, na kuzusha mdahalo wowote naye, lakini kiingereza chake kilikuwa ni kigumu hata cha Prof. Lumumba hakioni ndani. Huyo msomi muda wote alikuwa smart, kuvaa kwake ilikuwa ni mwendo wa suti, tai na viatu aina ya raizoni (enzi hizo raizoni huigusi).
Endelea kusoma.
 
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Messages
1,812
Likes
2,915
Points
280
Billy Walters II

Billy Walters II

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2017
1,812 2,915 280
Mkuu Shika kilichombeba ni ni media tu. Sasa Morris hadi Rais kuwa mkalimani sio kitu kidogo.
Mkuu GoLang inaonekana ulichoandika hapa ni kama kitu cha kweli lakini umekileta kama story, sina hakika kama ni fasihi ndo imetumika hapa au la, ila ningetamani utuambie kiufasaha hicho ni kijiji gani, kiko wilaya/mkoa gani, ili tuweze kujiridhisha juu ya hiyo habari.

Kama ni lugha ya fasihi mimi umniacha njia panda.
 
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,070
Likes
1,397
Points
280
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,070 1,397 280
Hii ni chai isiyo na sukari au ni kweli?
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Asante Dr Golan
 
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
1,070
Likes
1,397
Points
280
R

REALNEGRONEVABROKE

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2017
1,070 1,397 280
Hii sio chao mkuu, Sankuu ameacha legacy na kuwa game changer kijijini kwetu kwa kutuletea barabara za lami. Sankuu hafai, sema tu huwezi kumwelewa kwa sababu hukumshuhudia live kama Dr. Louis.
Kijiji gani mkuu? kipo Moshi au KLM?
 
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Messages
563
Likes
534
Points
180
G

GoLang

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2017
563 534 180
700 haitadhuru yuko juu achana na kufukua makaburi wewe.
Shika bado sana kwa Sankuu. Sankuu aliweza kumanipulate akili za watu kwa miezi na bado alichokifanya kilizaa barabara za lami kijijini.
 

Forum statistics

Threads 1,249,418
Members 480,661
Posts 29,697,436