Dr. Louis Shika ni fursa tumtumie

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
DR LUI NI FURSA TUNAWEZA KUMTUMIA.

Na Saronga Nangere.

Nani leo hamjui Dr Lui mzee wa 900 itapendeza? Nani hataki kukutana naye? Naona watu wameanza kumshobokea kwa kupiga naye picha nk.

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] tupo Slow sana kwenye kutumia fursa zinazojitokeza.

Mnamkumbuka yule jamaa Wa Githeri kule Kenya? Siku hizi kumuona ni Issue na ameajiriwa na makampuni kibao ya kibiashara.

Dr Lui hapa kwetu anaweza kutumika na makampuni ya Simu, vyama vya Siasa, Club zetu za mpira, Hotels, Tbl badala ya Kuwa mnywa mataputapu huko mtaani mnaonaje akawa anawatangazia safari na Kilimanjaro, Washehereshaji mnaonaje mkamtumia, Media zetu kama TV na Redio bado hazijamuona Dr Lui kama ni fursa inayoweza kuwavutia watu na kutengeneza fedha zaidi.

Hata Yono wanaweza kumtumia baada ya Kesi yake kuisha na wakampatia Ajira. Huyu jamaa ninegundua ni mtu mcheshi sana.

Ni nani hataki kuonana na Dr Lui Leo? Bado hatujaiona hiyo Fursa? Huyu waka hataki mshahara mkubwa kiivyo..... tuwe tofauti na tutumie Fursa.
 
Shika ni bilionea ana viwanda vikubwa kumi urus hawez kubal fanya kaz za matangazo

Nenda kawadanganye wengine huko
 
Kwanini haujatoa wazo la aangaliwe afya ya akili kabla ya yote hayo?

Hivi mtu una akili zako unaweza ingia kwenye mnada huku ukijua hauna pesa na ukapanda dau?
 
Hauwezi, wenye pesa ndio wanaingia.. ata shika anayo pesa ndiomaana kapanda dau.
 
FURSA YA MATANGAZO
dr shika.jpg
 
DR LUI NI FURSA TUNAWEZA KUMTUMIA.

Na Saronga Nangere.

Nani leo hamjui Dr Lui mzee wa 900 itapendeza? Nani hataki kukutana naye? Naona watu wameanza kumshobokea kwa kupiga naye picha nk.

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] tupo Slow sana kwenye kutumia fursa zinazojitokeza.

Mnamkumbuka yule jamaa Wa Githeri kule Kenya? Siku hizi kumuona ni Issue na ameajiriwa na makampuni kibao ya kibiashara.

Dr Lui hapa kwetu anaweza kutumika na makampuni ya Simu, vyama vya Siasa, Club zetu za mpira, Hotels, Tbl badala ya Kuwa mnywa mataputapu huko mtaani mnaonaje akawa anawatangazia safari na Kilimanjaro, Washehereshaji mnaonaje mkamtumia, Media zetu kama TV na Redio bado hazijamuona Dr Lui kama ni fursa inayoweza kuwavutia watu na kutengeneza fedha zaidi.

Hata Yono wanaweza kumtumia baada ya Kesi yake kuisha na wakampatia Ajira. Huyu jamaa ninegundua ni mtu mcheshi sana.

Ni nani hataki kuonana na Dr Lui Leo? Bado hatujaiona hiyo Fursa? Huyu waka hataki mshahara mkubwa kiivyo..... tuwe tofauti na tutumie Fursa.

Wewe bilionea huyo unataka kumgeuza kikaragosi? Sanasana ungesema makampuni yanayopeleka wanafunzi nje ningekuelewa. Asaidie kuwafunza vijana kwamba wanapoenda huko wapige shule kwelikweli kama alivyofanya yeye hadi wenyeji wakuonee gere. Ila vilevile kushare nao makosa ambayo anaona aliyafanya yaliyomletea yaliyomkuta (kuna mambo hayaepukiki hasa baadhi ya nchi zenye matabaka makubwa kati ya masikini na matajiri kama Russia). Cha muhimu ni watu kupiga kitabu na kuwa makini na huko wanakokwenda.
 
DR LUI NI FURSA TUNAWEZA KUMTUMIA.

Na Saronga Nangere.

Nani leo hamjui Dr Lui mzee wa 900 itapendeza? Nani hataki kukutana naye? Naona watu wameanza kumshobokea kwa kupiga naye picha nk.

[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] tupo Slow sana kwenye kutumia fursa zinazojitokeza.

Mnamkumbuka yule jamaa Wa Githeri kule Kenya? Siku hizi kumuona ni Issue na ameajiriwa na makampuni kibao ya kibiashara.

Dr Lui hapa kwetu anaweza kutumika na makampuni ya Simu, vyama vya Siasa, Club zetu za mpira, Hotels, Tbl badala ya Kuwa mnywa mataputapu huko mtaani mnaonaje akawa anawatangazia safari na Kilimanjaro, Washehereshaji mnaonaje mkamtumia, Media zetu kama TV na Redio bado hazijamuona Dr Lui kama ni fursa inayoweza kuwavutia watu na kutengeneza fedha zaidi.

Hata Yono wanaweza kumtumia baada ya Kesi yake kuisha na wakampatia Ajira. Huyu jamaa ninegundua ni mtu mcheshi sana.

Ni nani hataki kuonana na Dr Lui Leo? Bado hatujaiona hiyo Fursa? Huyu waka hataki mshahara mkubwa kiivyo..... tuwe tofauti na tutumie Fursa.
ni dk. inasemekana ni mjasiliamali, ana shule kichwani, pia kakaa urusi ana exposure, anaweza tumika kivingine
 
Fanya kumrudishia pesa zake alizokupa, haiwezekani yeye aseme hana wewe useme anazo.
haha kwani alisema hana?? mzee anasema nia yake ipo palepal. shida ni pesa zake hazipo bongo
 
Back
Top Bottom