Dr Shika amekamilisha leo malipo ya bima kwa ajili ya kutumiwa fedha zake kutoka nchini Urusi

Dkt shika alitekwa akili na scammers akaingia mazima na sasa tayari scammers wameshapatiwa $100 ya bure kabisa.

Maelezo ya mwenye internet cafe alisema shika alikuwa anaenda cafe yake kufanya masuala yake na kwa ninavyoona huyu dkt yupo desperate sana aidha alikuwa na pesa aliacha huko urusi au laa na anapenda sana kuwa tajiri ,hivyo kupitia e mail yake scammers wakamrubuni na kumdanganya akadanganyika.

Utapeli aliofanyiwa shika hauna tofauti na utapeli unaofanywa pale mbagala rangi 3 ,wale majamaa wanaoweka vitu vyao radio set,sabufa na assets zengine ukifika pale utakuta wateja feki wanacheza karata na wanakula kiurahisi sana ila wewe ukienda utashinda fresh karata ya kwanza kisha utatozwa 5000 ile ya pili utaambiwa kwakuwa umeahinda set ya radio na sabufa thamani take ni 800,000 toa 30,000 ucheze karata ya mwisho kwakuwa upo desperate utatoa tu na ukishinda utaambiwa toa 100,000 upewe zawadi yako ya thamani 800,000 na principle yao hawakati kwenye hio 800,000 uliyoshinda hivyo utashindwa kuikomboa na wao watakuwa wamekula elf thalathini ,arobaini au ishirini zako bure kabisa.

Dkt kaingizwa mkenge na scammers na kwenye e mails wamejaa kibao kama wewe unapenda mteremko utaliwa tu

Je utaratibu wa international money transfer ukoje?

1.kwanza mtumaji ataangalia option ya kutuma pesa zake aidha kwa njia ya Bank ,FX brokers au high street tranfer firm mfano western Union.

2.atajaza maelezo na kila kitu na kiasi atakachotuma na makato ya gharama "transfer charges " na bank utakayotolea pesa watakata makato yao na hapa kitakachoangaliwa ni exchange rates

Hivi kweli wewe unayetumiwa pesa ndio utume pesa ya bima ili uletewe pesa ?pesa hukatwa kwenye transfer charges let's say ana mali nyingi hivyo kuepusha risk anakatia bima hivi Mali ya millions of dollars ukatie bima ya $100

Scammers pasi na shaka walimuambia dkt tuma pesa ya bima $100

Tangu 2006-2016 alikuwa hohehahe tabata baada ya kurudishwa nchini,2017 aletewe pesa kirahisi rahisi tu.

WaNigeria sio watu wazuri kabisa

07e21ed8ddfd8388041f42aae2c2f729.jpg

a83898660b21b58818ea8ec61efb29b9.jpg
 
Hapa scine ni LUGUMI na YONO hakuna cha Dr Shika wala mvuzzi! game inachezwa ili mwenye nyumba apate nyumba zake
 
yap! nami nafikiria hivyo kutransfer hela mpaka utume bima
Hiyo inatia Shaka mkuu; maana wengine ni fax tu mpunga unakuja, na hauji ikikosewa hata nukta ya signature; lazima wandike e-mail kuverify transaction.
 
Dr Shika amekamilisha muamala aliotakiwa kuufanya ili atumiwe pesa zake, ilikuwa inahitajika dola 100, tayali ametuma Leo kupitia benk ya equity kwenda benk ya Bangkok inchin Thailand. Tusubili aje kunyamazisha watu

View attachment 632878

View attachment 632879

HIVI IKIWA KWELI HIZO PESA ZIKATUMWA NA AKALIPA, JE WALE WALIOSEMA KUWA ANASTAHILI BAKORA BADO WATAENDELEA NA MSIMAMO WAO AU WATABADILISHA
 
Dr Shika amekamilisha muamala aliotakiwa kuufanya ili atumiwe pesa zake, ilikuwa inahitajika dola 100, tayali ametuma Leo kupitia benk ya equity kwenda benk ya Bangkok inchin Thailand. Tusubili aje kunyamazisha watu

View attachment 632878

View attachment 632879

Huyu kweli anahitaji tiba ya akili ..amekutana na wanaijeria wa Advance Fee Fraud wanamla tu tudola mia mia! Millions of Dola fee iwe dola 100? Amekutana na Matapeli wa Kinaijeria
 
Dkt shika alitekwa akili na scammers akaingia mazima na sasa tayari scammers wameshapatiwa $100 ya bure kabisa.

Maelezo ya mwenye internet cafe alisema shika alikuwa anaenda cafe yake kufanya masuala yake na kwa ninavyoona huyu dkt yupo desperate sana aidha alikuwa na pesa aliacha huko urusi au laa na anapenda sana kuwa tajiri ,hivyo kupitia e mail yake scammers wakamrubuni na kumdanganya akadanganyika.

Utapeli aliofanyiwa shika hauna tofauti na utapeli unaofanywa pale mbagala rangi 3 ,wale majamaa wanaoweka vitu vyao radio set,sabufa na assets zengine ukifika pale utakuta wateja feki wanacheza karata na wanakula kiurahisi sana ila wewe ukienda utashinda fresh karata ya kwanza kisha utatozwa 5000 ile ya pili utaambiwa kwakuwa umeahinda set ya radio na sabufa thamani take ni 800,000 toa 30,000 ucheze karata ya mwisho kwakuwa upo desperate utatoa tu na ukishinda utaambiwa toa 100,000 upewe zawadi yako ya thamani 800,000 na principle yao hawakati kwenye hio 800,000 uliyoshinda hivyo utashindwa kuikomboa na wao watakuwa wamekula elf thalathini ,arobaini au ishirini zako bure kabisa.

Dkt kaingizwa mkenge na scammers na kwenye e mails wamejaa kibao kama wewe unapenda mteremko utaliwa tu

Je utaratibu wa international money transfer ukoje?

1.kwanza mtumaji ataangalia option ya kutuma pesa zake aidha kwa njia ya Bank ,FX brokers au high street tranfer firm mfano western Union.

2.atajaza maelezo na kila kitu na kiasi atakachotuma na makato ya gharama "transfer charges " na bank utakayotolea pesa watakata makato yao na hapa kitakachoangaliwa ni exchange rates

Hivi kweli wewe unayetumiwa pesa ndio utume pesa ya bima ili uletewe pesa ?pesa hukatwa kwenye transfer charges let's say ana mali nyingi hivyo kuepusha risk anakatia bima hivi Mali ya millions of dollars ukatie bima ya $100

Scammers pasi na shaka walimuambia dkt tuma pesa ya bima $100

Tangu 2006-2016 alikuwa hohehahe tabata baada ya kurudishwa nchini,2017 aletewe pesa kirahisi rahisi tu.

WaNigeria sio watu wazuri kabisa

07e21ed8ddfd8388041f42aae2c2f729.jpg

a83898660b21b58818ea8ec61efb29b9.jpg
sina hakika kama amekopa leo nimeona mahali akiingia mkataba wa matangazo na kampuni Fulani
 
Back
Top Bottom