Habari za hivi punde zinasema Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi mh. Dr. Ali Mohamed Shein amemteua jaji Omar Makungu kuwa mwanasheria mkuu wa Zanzibar na ataapishwa kesho. Source Tbc