Dr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita..
Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?🤣🤣
Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya....
Jamani🤔🤔
Hahahaaa....... Viongozi wengi hata Nairobi tu hawajafika lkn wanazungumzia Ulaya😄😄Sasa hivi TBC baada ya Aridhio kuna kituko wanarusha wanaita "bongo kama Ulaya " wanaonyesha treni za Ulaya ,magari ya mwendo kasi na flyovers eti wapo kama Ulaya.
Wanatia aibu wangeonyesha maisha ya Tandale pia tuone kama ipo kama Ulaya.
Ujenzi wa ndoto za Alinacha huwa ni rahisi sanaDr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita..
Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?
Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya....
JamaniView attachment 1565787
Mimi so mshabiki wa Shein wala sio mfuasi wa CCM. Ila chini ya Utawala wa Dk Shein mambo mengi yamefanyika kama hahaDr Shein alitoa hii ahadi miaka 10 iliyopita..
Sasa mimi nawauliza wa Zanzibar, Je hali ikoje hapo Zanzibar?🤣🤣
Baada ya kumsaidia Shein kubadilisha Zanzibar, Magufuli nae kaahidi kuifanya Tanzania kuwa kama Ulaya....
Jamani🤔🤔View attachment 1565787
Wawa wekee taa aisee usiku muwe mnashinda mnapiga ma-drift na 0-60 kwa sana tu,hahah.Hujamsikia Balozi Seif Ali Idi ivi karibuni alipokwenda kutembelea ile michenzani mall na kisonge maskan? kwa majengo yale mawili tayari Zanzibar imekuwa Dubai kwa mujibu wake na amesisitiza kuwa wafanyabiashara badala ya kwenda Dubai sasa watakuwa wanaenda michenzani kununua mizigo! Hio ndio Zanzibar chini ya Ma CCM bana, ata kuweka taa barabarani basi ni jambo la sherehe.
Mimi so mshabiki wa Shein wala sio mfuasi wa CCM. Ila chini ya Utawala wa Dk Shein mambo mengi yamefanyika kama haha
1. Ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua hivyo karibuni mafuriko Znz yatakua historia.
2. Ujenzi wa miundombinu ya maji safi katika mji wa Zanzibar pamoja na ujenzi wa matank makubwa ya kuhifadhia maji.
3. Ujenzi wa majengo ya kisasa ya makaazi pamoja na kuanzishwa miji mipya.
4. Ujenzi wa shopping malls na ukarabati wa majengo ya zamani.
5. Ujenzi wa ofisi za kisasa
6. Ujenzi wa shule za kisasa
7. Ujenzi wa Barbara
8. Uwekaji taa za barabarani mjini Kate.
9. Uboreshwaji huduma za Afya.
10. Kuheshimu haki za binaadamu.
Mwisho namuomba do.Shein awaachie huru masheikh wa Uamsho warudi katika familia zao.
walichowaweza ccm watanzania ni kuwanyima elimu ili wawatawale vizuriHahaha huwezi amini kuna vichwa huko CCM vinaamini kila kitu wasemacho hao watawala.
Kuna mtu wa CCM tulikuwa tukiongea akasema daraja la mfugale ndiyo ulaya wanaziita highway.