MchunguZI
JF-Expert Member
- Jun 14, 2008
- 4,009
- 2,171
Nimependezwa sana na hotuba ya Mh. huyu mara baada ya kutangazwa kwamba ni mshindi wa kiti cha Urais, Z'bar.
Hakuwa na lugha ya kejeri, Hakuna kuzomeana kama CCM walivyozoea, Bila unifomu ya CCM, na la muhimu zaidi ni pale aliposema 'tumeshinda' yaani CCM na CUF. Hii ni lugha ya umoja. Hiyo ndo lugha ya mshindi anayekuwa kiongozi wa nchi. Ukisha shinda wee ni kiongozi wa wote siyo CCM au CUF.
Huku Bara najua hotuba zitakuwa ni zile za taarabu na ngonjera na alama nyingi za chama bila hata sababu.