babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
[COLOR=[B]"blue"]Rais mteule wa Zanzibar amewateua wajumbe wanane kuingia katika baraza la wawakilishi litakaloapishwa hapo kesho, wajumbe 6 wanatoka CCM na wawili wanatoka CUF. Wajumbe hao ni Omary Yusuf Mzee; Mohamed Omary Mohamed; Baloz Seif Ally Iddy; Zainabu Omary; Ramadhan Shaaban na Dr Sira Ubwa Maboya hawa wote toka CCM. Kutoka CUF wapo Dr Juma Duni Hajj na Bi Fatuma Feleji. Habari za hapa na pale zinahisi Balozi Seif Ally Iddy huenda akateuliwa kuwa Naibu makamu wa pili wa Rais ambaye atakuwa ndio mtendaji mkuu (a.k.a. waziri kiongozi)[/B][/COLOR]