DR. Sengati, RC Shinyanga hivi ulikuwa na matatizo gani kuelewa?

Jaman eeh,Dk. Sengati hajawa RC wa kwanza kutenguliwa baada ya JPM kuondoka. Vyovyote itavyokuwa imetokea mwenye kauli ya mwisho juu ya ajira hiyo ni yule aliyeteua na ndiye kaona Daktari hamfai tena. Sina shaka na uwezo wa yule Mzinza kitaaluma coz umahiri wake alikokuwa be4 ndiyo uliivutia mamlaka ya uteuzi hadi kumuomba amsaidie ktk kazi hiyo ya ukuu wa mkoa.
(Abhazinza twimanye tulibhache). Never give up brother!
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine.
Ni mpumbavu tu....

Usomi bila kujitambua ni janga tu.

Mkuu wa mkoa hujui nafasi ya Waziri kwenye nchi? Mkuu wa mkoa unamtunishia kifua Cabinet Member?

Hata kama kulikuwa na shida kwa waziri/wizara, alishindwaje kuongea na Waziri mkuu ili wakae sawa? Acha akafanye kazi nyingine.
 
Jaman eeh,Dk. Sengati hajawa RC wa kwanza kutenguliwa baada ya JPM kuondoka. Vyovyote itavyokuwa imetokea mwenye kauli ya mwisho juu ya ajira hiyo ni yule aliyeteua na ndiye kaona Daktari hamfai tena. Sina shaka na uwezo wa yule Mzinza kitaaluma coz umahiri wake alikokuwa be4 ndiyo uliivutia mamlaka ya uteuzi hadi kumuomba amsaidie ktk kazi hiyo ya ukuu wa mkoa.
(Abhazinza twimanye tulibhache). Never give up brother!
Wazinza wanatoka mkoa gani?
 
Safi sana, acha waisome namba. Sasahivi ukikutana na MAMLUKI kama "polepole", "lugola", "chalamila" na huyo "sengati" aliyetumbuliwa huko shy, bila shaka watakuambia KATIBA MPYA NI MUHIMU kwa sasa.
 
Msomi huyo ameshindwa kujipendekeza kwa wanasiasa kama mlivyozoea kwa wengine mliowaokota jalalani.

Hili taifa linahitaji Katiba Mpya kwa haraka sana, na wale wanaosema Chadema ndio wanaitaka hawajitambui, wamezoea kuishi utumwani.
Msiwe wabishi kuelewa issues.
Hakuna Katiba inatetea utovu wa nidhamu.
Na kama mtu kakosea kiutendaji kakosea tu, Phd haimfanyi awe right.
Naona huyu Dr Sengati, kijana wa juzi, ana kakiburi kasiko na tija.
Hata huko aendako atatumbuliwa tu.
 
Back
Top Bottom