Dkt. Rioba wa TBC ataka kupigana na Gerald Hando wa E-FM kwa kuambiwa TBC imemshinda

Ukiona mtu anapanick kwa kuambiwa chochote jua kaguswa...ukweli unaonekana wazi Ryoba Tbc imemshinda
 
Hivi tbc ni television ya nchi gani kwa anajua msaada tafadhali
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Habari Tanzania TBC, Dkt. AYOUB RYOBA kama siyo watu kumshika na kuwaamua, nusura apigane na Mtangazaji wa kituo cha Redio cha EFM Gerald Hando.

Tukio hilo lilitokea katika Bar ya LILLY'S iliyoko Mikocheni Jijini Dar es Salaam baada ya Gerad Hando kumwambia RYOBA kuwa ameshindwa kabisa kulifanya Shirika la TBC lionekane linaongozwa na Mkurugenzi mwenye elimu ya kutosha Kabisa ya kiwango cha Phd na aliyefundisha wana taaluma mbalimbali wa habari.

Baada ya ugomvi huo kuzuiwa na watu waliokuwepo karibu, DR.Ryoba aliondoka kuelekea kwenye gari lake ambapo ilitafsiriwa kuwa alikuwa anakwenda kuchukua Bastola.

Aidha Bosi huyo wa TBC alisikika akisema kuw atamshughulikia Gerald Hando na hakuna wa kumfanya lolote.
Taaluma zisizokuwa na misingi madhubuti ya maadili. Jambo la aibu kabisa kwa mtu wa wadhifa na elimu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Habari Tanzania TBC, Dkt. AYOUB RYOBA kama siyo watu kumshika na kuwaamua, nusura apigane na Mtangazaji wa kituo cha Redio cha EFM Gerald Hando.

Tukio hilo lilitokea katika Bar ya LILLY'S iliyoko Mikocheni Jijini Dar es Salaam baada ya Gerad Hando kumwambia RYOBA kuwa ameshindwa kabisa kulifanya Shirika la TBC lionekane linaongozwa na Mkurugenzi mwenye elimu ya kutosha Kabisa ya kiwango cha Phd na aliyefundisha wana taaluma mbalimbali wa habari.

Baada ya ugomvi huo kuzuiwa na watu waliokuwepo karibu, DR.Ryoba aliondoka kuelekea kwenye gari lake ambapo ilitafsiriwa kuwa alikuwa anakwenda kuchukua Bastola.

Aidha Bosi huyo wa TBC alisikika akisema kuw atamshughulikia Gerald Hando na hakuna wa kumfanya lolote.

Tbc ndio nini wajameni
 
Back
Top Bottom