Dr. Rwaitama: Kosa kubwa la CAG ni kuibua ufisadi uliotakiwa kusemwa na mtu anayekuwa LIVE na kwanini hakuuliza kipi kiandikwe na kipi kisiandikwe

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kuna Mtu kaniambia jana jioni kwamba kumbe kosa la CAG Assad ni kuibua Wizi katika maeneo mbalimbali ya Nchi bila kuruhusiwa! kumbe mwenye kazi na haki ya kuibua Matendo yote ya Wizi Nchi hii ni mmoja tu! Ili sifa na Utukufu zimwendee yeye peke yake!

Makosa makubwa mengine ya Assad kumbe ni pamoja na yeye binafsi kutokuwa Kada, na pia kuingilia kazi isiyo mhusu, hivyo, Jitihada zinafanyika Assad aondoke ili awekwe CAG mwingine atakaye kuwa Kada na Mtu Mtulivu, atayekuwa anauliza Wakubwa kila kitu akitaka kutoa taarifa yake, ni mambo yapi yakuyatoa kwa Umma na yapi siyo ya kuyatoa, kisha kumwachia mwenye kazi yake ya kufichua Uovu ili NGONJERA ziendelee, Tanzania mpya ya CCM mpya!

Lakini Daktari naye amekuwa na wasiwasi na anashangaa!!!
 
Kila mtu akija na stories za kuambiwa huko vichochoroni hii server ya JF itapona kweli? Mimi kuna mtu kanambia wewe ni Mwanamke ila unajifanya mwanaume.nikaanzishe uzi kwa hilo?

Kuna mtu kanambia wewe ni CCM kikwete sasa umeona maslahi yako yamehatarishwa unamchukia magufuli.nikaanzishe uzi kwa hilo?

C'mon guys tuwe tunatumia akili mwishoni wote mtaonekana tu kama ni praise and worship team. Wapinzani mnapaswa muwe smart mnapotaka kuongea kitu ili sisi tulio neutral tupime wenye akili.jingalao naye anaweza akaja akaanzisha uzi kuna mtu kamwambia assad anatumika na wapinzani.hapo mtampinga vipi?

Kila siku tunawasema mashabiki wengi wa ccm buku 7 ( na wewe ulikuwa huko) wanakaa tu wanakuja wanaropoka upupu humu na nyie tena mnawaiga.propaganda za kitoto achaneni nazo.
 
Tetesi ni kuwa kuna ndugu wa mtu fulani yuko ofisi ya c.a.g inasemekana anataka kumpachika kuchukua kitengo cha asad..
Naomba niishie hapo tafadhali.
 
Kila mtu akija na stories za kuambiwa huko vichochoroni hii server ya JF itapona kweli? Mimi kuna mtu kanambia wewe ni Mwanamke ila unajifanya mwanaume.nikaanzishe uzi kwa hilo?

Kuna mtu kanambia wewe ni CCM kikwete sasa umeona maslahi yako yamehatarishwa unamchukia magufuli.nikaanzishe uzi kwa hilo?

C'mon guys tuwe tunatumia akili mwishoni wote mtaonekana tu kama ni praise and worship team. Wapinzani mnapaswa muwe smart mnapotaka kuongea kitu ili sisi tulio neutral tupime wenye akili.jingalao naye anaweza akaja akaanzisha uzi kuna mtu kamwambia assad anatumika na wapinzani.hapo mtampinga vipi?

Kila siku tunawasema mashabiki wengi wa ccm buku 7 ( na wewe ulikuwa huko) wanakaa tu wanakuja wanaropoka upupu humu na nyie tena mnawaiga.propaganda za kitoto achaneni nazo.
Anzisha mada yako ya kusifu na kuabudu kwa jiwe
 
Hahah ndio maana dr.Rwaitama waligoma kumuongezea mkataba wa kazi pale chuoni maana anasemaga ukweli mchungu bila kuupooza hata kiduchu,hahah.

Big up sana kwake.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alinishangaza zaidi pale alipo sema eti sio kila kilicho andikwa ni kweli ni ufisadi kuna mengine YAKIJADILIWA yatawekwa sawa, kweli kikao 20 vinaweza kulipwa bilion za pesa? Majadiliano yanaweza kufanya michango ya wana ccm yakaonekana yamelipwa NSSSF? Ndugai ni zaidi ya dhaifu kwa kweli yaani ni hovyo.
 
Watanzania bwaaanaa huwezi kusikia tena mtu anahoji ndege iliyonunuliwa kwa mbwembwe na dhihaka badala yake masikio na macho ya watanzagiza yapo kwa Professor Assad.

Nchi ya kusadikika.

Hayo ya ndege pia yamo kwenye ripoti ya CAG, Watanzania unaowadhihaki wana akili, hiyo ripoti ni official document, na yenye ushahidi wa kitaalamu, ndio ya maana kuongelea kuliko hadithi unazotaka wewe.
 
Kila mtu akija na stories za kuambiwa huko vichochoroni hii server ya JF itapona kweli? Mimi kuna mtu kanambia wewe ni Mwanamke ila unajifanya mwanaume.nikaanzishe uzi kwa hilo?
Kuna mtu kanambia wewe ni CCM kikwete sasa umeona maslahi yako yamehatarishwa unamchukia magufuli.nikaanzishe uzi kwa hilo?
C'mon guys tuwe tunatumia akili mwishoni wote mtaonekana tu kama ni praise and worship team. Wapinzani mnapaswa muwe smart mnapotaka kuongea kitu ili sisi tulio neutral tupime wenye akili.jingalao naye anaweza akaja akaanzisha uzi kuna mtu kamwambia assad anatumika na wapinzani.hapo mtampinga vipi?
Kila siku tunawasema mashabiki wengi wa ccm buku 7 ( na wewe ulikuwa huko) wanakaa tu wanakuja wanaropoka upupu humu na nyie tena mnawaiga.propaganda za kitoto achaneni nazo.
mkuu umejuaje kama mtoa mada ni mpinzani??
 
Kuna Mtu kaniambia jana jioni kwamba kumbe kosa la CAG Assad ni kuibua Wizi katika maeneo mbalimbali ya Nchi bila kuruhusiwa! kumbe mwenye kazi na haki ya kuibua Matendo yote ya Wizi Nchi hii ni mmoja tu! Ili sifa na Utukufu zimwendee yeye peke yake!

Makosa makubwa mengine ya Assad kumbe ni pamoja na yeye binafsi kutokuwa Kada, na pia kuingilia kazi isiyo mhusu, hivyo, Jitihada zinafanyika Assad aondoke ili awekwe CAG mwingine atakaye kuwa Kada na Mtu Mtulivu, atayekuwa anauliza Wakubwa kila kitu akitaka kutoa taarifa yake, ni mambo yapi yakuyatoa kwa Umma na yapi siyo ya kuyatoa, kisha kumwachia mwenye kazi yake ya kufichua Uovu ili NGONJERA ziendelee, Tanzania mpya ya CCM mpya!

Lakini Daktari naye amekuwa na wasiwasi na anashangaa!!!
Mungu mbariki CAG
 
Mtoa mada kaongea ukweli mtupu na ndio ilivyo .fisadi mzalendo ,mpigaji mzalendo mpenda sifa anaangamiza nchi huku vichaa waliomsukumiza wakimwangalia tu mwenzao anavyovurunda .
 
Kila mtu akija na stories za kuambiwa huko vichochoroni hii server ya JF itapona kweli? Mimi kuna mtu kanambia wewe ni Mwanamke ila unajifanya mwanaume.nikaanzishe uzi kwa hilo?

Kuna mtu kanambia wewe ni CCM kikwete sasa umeona maslahi yako yamehatarishwa unamchukia magufuli.nikaanzishe uzi kwa hilo?

C'mon guys tuwe tunatumia akili mwishoni wote mtaonekana tu kama ni praise and worship team. Wapinzani mnapaswa muwe smart mnapotaka kuongea kitu ili sisi tulio neutral tupime wenye akili.jingalao naye anaweza mtampinga vipi?

Kila siku tunawasema mashabiki wengi wa ccm buku 7 ( na wewe ulikuwa huko) wanakaa tu wanakuja wanaropoka upupu humu na nyie tena mnawaiga.propaganda za kitoto achaneni nazo.
Eti sie tulioneutral! Uoni hata aibu
 
Watanzania bwaaanaa huwezi kusikia tena mtu anahoji ndege iliyonunuliwa kwa mbwembwe na dhihaka badala yake masikio na macho ya watanzagiza yapo kwa Professor Assad.

Nchi ya kusadikika.
CAG ndio jicho la Taifa, je wewe binafsi unaweza kukagua taratibu za ununuzi wa hizo ndege

Hata ukipiga kelele maisha yako yote bado wa kufanya ukaguzi ni CAG pekee na Bunge la Jamuhuri.

Ila kwa sababu bunge limekuwa tawi la serikali ndio maana tupo na CAG muda wote.
 
Back
Top Bottom