Dr. Rugemeleza Nshala, tunamhitaji CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Rugemeleza Nshala, tunamhitaji CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Jun 8, 2012.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unapoongelea wapiganaji wasio na makuu wala kujikweza mbele ya jamii,
  basi huwezi kumsahau Dr. Rugemeleza. Hana ufisadi ata chembe, ni mpiganaji wa muda mrefu na mahili sana. Huyu jamaa namlinganisha na Lulu ambayo CHADEMA tunahitaji kuwa nayo.

  Hapa nimechukua Link mbali mbali mbali zinazomhusu:

  www.leat.or.tz/activities/buly/sedition.charges.php

  www.leat.or.tz/publications/regulating.hunting/3.1.introduction.php

  www.mwanahalisi.co.tz/‘dhahabu_ya_damu'_ya_... -

  www.kituochakatiba.org/index2.php?option=com...task...

  www.unhchr.ch/Huridocda/Huridoca.nsf/0/.../G0311122.do  Ni muhimu kwa viongozi we
  tu kutwongzea watu wenye mvuto hasa wasomi ka Nshala wapiganaji CHADEMA.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  CHADEMA waongee vizuri na huyu mtu. Atasaidia sana hasa kwenye mikataba ya madini. Ndiye alikuwa mstari wa mbele kuibua scandal ya Bulyanhulu na sasa anamalizia PhD kuhusu sheria/mikataba ya madini kutoka chuo kikuu cha Havard. Anajua madudu ya madini inside out.
   
 3. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  We need him soon!
   
 4. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,198
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hili ni jembe wakina dr nchimbi na doctorate zao ambazo hazieleweki wakimuona lazima waingie chini ya meza
   
 5. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,537
  Trophy Points: 280
  FJM, naamini itakuwa rahisi sana kwa CHADEMA kumpata na kumtumia huyu jamaa; kwani amefanya kazi na Lissu pale LEAT na pia katika suala zima la natural resources (mineral, forest and wildlife) governance.

  Pia the guy has always been critical to the government on resources governance; I don't see him fitting with the current and ongoing CCM agenda.

  CHADEMA kinaweza kumtumia huyu jamaa kama mshauri katika masuala ya natural resources governance, hususani kwenye usimamizi na uchimbaji wa madini. Si lazima CHADEMA kimtake jamaa agombee nafasi za siasa katika chama; atumike kama mshauri mtaalamu.
   
 6. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Katika Siasa, sio vizuri kumoumba mtu ajiunge nanyi. Anatakiwa awe na msukumo wake binafsi kuwa anataka kulifanyia nini taifa lake na atafanyaje aweze kuipata nafasi hiyo. Siungi mkono mtu kuombwa kujiunga na chama cha siasa hata kidogo.

  Kama anafikiri atakuwa na manufaa CHADEMA, achukue kadi kwa hiari yake la sivyo, wako wengi nchini humu wanaoweza kuyafanya ambayo angefanya yeye. Tuondoe asili ya kufikiria kuna walio na thamani zaidi ya wengine.

  Kila mtu kwa nafasi yake ana umuhimu kwenye kuijenga nchi na pia chama cha siasa.
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huyu mzee Rugemeleza ni mwanaJF atakuja kutoa msimamo wake

  Rugemeleza [​IMG]
  JF Senior Expert Member
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]

  [​IMG]
  • [​IMG] Add as Friend
  • [​IMG] Send Private Message
  • [​IMG] Add to Ignore List
  • [​IMG] User Notes (0)
  • [​IMG] Find latest posts
  • [​IMG] Find latest started threads
  • [​IMG] View Conversations
  • [​IMG] Likes Received (100)
  • [​IMG] Likes Given (37)

  Mini Statistics

  Join Date26th October 2009Last Activity29th May 2012 16:32Avatar[​IMG]
  1 Visitor Messages


  • [​IMG]
   Kashaijabutege - 26th January 2012 12:25 View Conversation Report Kaka za siku nyingi? Kama wewe ni Rugemeleza Nshala, basi tulikuwa wote Mlimani....................
   
 8. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Huyu tayari. Msiwe na wasi. Bado Nape tu.
   
 9. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Communist,
  Kumlinganisha Nape na Nshala ni dharau ambayo haikubaliki kwa kweli. Nshala hjawahi kuwa msanii wala mlagahai.
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye red, humjui Shala na umezinduka tu usingizini na kujenga hoja. Ungetafuta historia yake kwanza na usingekuja na hoja dhaifu kama hii.
  Hapo kwenye green pia, hilo ni pendekezo letu na wewe ungetutajia wengine unaowasema si mbaya kwa kipindi hiki cha wakoloni mafisadi tunahitaji wapiganaji na si wanasiasa tu kama wale kina waziri wa manyani wenye propaganda.

  Hapo kwenye blue, ndopanaonesha kuwa wewe hujui ulisemalo, unazidiwa na watanzania wengi lkn ambao wameshaona chama makini na kuacha na CCM na waliofunganao ndoa ya kuendeleza utapeli na propaganda za uongo. mtazamo wako utafanya kazi baada ya nchi kukombolewa. sio sasa hivi. Pole sana kwa hoja isiyo na mashiko mkuu.
   
 11. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nakukubalia mkuu. Tatizo watu makini kama hawa huwa viongozi wa vyama wanawagwaya sana.
  Ni mpiganaji sana na mu makini pia ujulikana kuwa yeye na wengine ni moja ya watu waliofukuzwa chuo (UDSM) Enzi za Mwinyi, miaka
   
 12. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tufanye hima kamanda aingie kikosini
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Jun 9, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Mwenyewe yupo tayari? Na viongozi wa chama je? Wanamuhitaji?
   
 14. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  I have no more to say to you! You seem to have gone to school but did not manage to see the scripts!
   
Loading...