Dr. Rioba wa TBC Unahujumu Serikali, sikujua kama ungekuwa hivi

Njaro

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
356
786
Haiwezekani leo ni siku ya alhamisi, maswali kwa waziri mkuu alafu Tbc haionyeshi Live....

Je, nini tafsiri ya hii, ni kwamba unataka kutuaminisha kuwa waziri mkuu hawezi kujieleza vizuri mpaka mfanye cover up ya media?

Je, nini nia yako katika hili. Hujui kwamba waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali, hivyo ni wasaha na fursa nzuri ya wananchi kupata majibu kutoka serikalini?

Tafadhali sana, this is too much.... Jirekebishe. Ulipokuwa Udsm ulikuwa critical kweli, saizi naona cheo kimekupofusha... Simama imara kaka!...
 
Haiwezekani leo ni siku ya alhamisi, maswali kwa waziri mkuu alafu Tbc haionyeshi Live....

Je nini tafsiri ya hii, ni kwamba unataka kutuaminisha kuwa waziri mkuu hawezi kujieleza vizuri mpaka mfanye cover up ya media?

Je nini nia yako katika hili. Hujui kwamba waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali, hivyo ni wasaha na fursa nzuri ya wananchi kupata majibu kutoka serikalini?

!
!
Rioba ni kada mtiifu. Sifa kuu ni kufuata maelekezo ya Chama. Mkuu yoyote wa kitengo cha Selikali ni lazima ajue kwamba sisiem ndio mabosi wake.
 
Haiwezekani leo ni siku ya alhamisi, maswali kwa waziri mkuu alafu Tbc haionyeshi Live....

Je nini tafsiri ya hii, ni kwamba unataka kutuaminisha kuwa waziri mkuu hawezi kujieleza vizuri mpaka mfanye cover up ya media?

Je nini nia yako katika hili. Hujui kwamba waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali, hivyo ni wasaha na fursa nzuri ya wananchi kupata majibu kutoka serikalini?

Tafadhali sana, this is too much.... Jirekebishe. Ulipokuwa Udsm ulikuwa critical kweli, saizi naona cheo kimekupofusha... Simama imara kaka!...
Ungelikuwa wewe ungelifanya nini?
 
Ni wachache sana ndani ya serikali yetu wanaotenda kwa kutumia akili, wengi wanaambiwa nini cha kufanya.
 
Tatizo la kimsingi katika hii nchi ni kuwa sheria zimeruhusu maamuzi ya kiutendaji ya kitaalam kuingiliwa na wanasiasa kwa maslahi yao ya kisiasa.
 
Haiwezekani leo ni siku ya alhamisi, maswali kwa waziri mkuu alafu Tbc haionyeshi Live....

Je nini tafsiri ya hii, ni kwamba unataka kutuaminisha kuwa waziri mkuu hawezi kujieleza vizuri mpaka mfanye cover up ya media?

Je nini nia yako katika hili. Hujui kwamba waziri mkuu ndio msimamizi wa shughuli za serikali, hivyo ni wasaha na fursa nzuri ya wananchi kupata majibu kutoka serikalini?

Tafadhali sana, this is too much.... Jirekebishe. Ulipokuwa Udsm ulikuwa critical kweli, saizi naona cheo kimekupofusha... Simama imara kaka!...
UMEKULA MAHARAGE YA WAPI WEWE USIYEJUA KUWA WAZIRI MKUU NDOO HAPENDI BUNGE LIONESHWE LIVE?
 
Ungelikuwa wewe ungelifanya nini?

Kwani Mkurugenzi wa Bandari anafanyaje?.... Ni kusema ukweli hata kama unatumbuliwa..

Huyu Dr. Rioba alipokuwa nje alikuwa mkosoaji mkubwa wa serikali, alionekana kama mwana reform, kumbe hakuna kitu, bora ya Mshana
 
Back
Top Bottom