Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,760
- 71,140
Nipo ndugu yangu MOTOCHINI na hongera kwa mtu wako kutangazwa mshindi (sisemi kushinda). Yote sawa tuu na maisha yatasonga kwa slogan hiyo ya Hapakazituu.KAZI TU Chakaza Rafikiangu upoooo
ila uchaguzi huu ulikuwa na mambo ambayo huwezi kuamini hasa katika majumuisho ya kura. Kuna mambo mie nilishika mdomo sikuamini kuwa yanaweza kutokea. Mie nilidhani ni huu ushabiki wetu tuu wa ki JF kumbe kuna mambo makubwa mno. Wewe ni pm nikujulishe maana siwezi kuyaandika humu, ni mazito.
Last edited by a moderator: