Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

hizi ndo tunaita AKILI PUMBAVU una pika matokeo na kuyaleta kwa ufahamu au kwa kutokufahamu na bado unapata wafuasi wenye akili PUMBAVU kama zako

kasome upya kura za eddo

ndo maana mnaitwa nyumbu ni kutokana na kuwa na AKILI PUMBAVU badae ufatilie unalopoka

Mkuu Kwani Uwezi Kubishana Kwa HOJA Mpaka Uporomoshe MITUSI? Au Matusi Kwa Sasa Ndiyo Sera Ya Chama?
 
~*~*~

Nitumie nafasi hii kumpongeza Daktari John Joseph Pombe Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Heko kwako Raisi Mteule na Heko kwa Wananchi wote wa Bara na Visiwani.

Mungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Afrika

~*~*~*~

Sir. Armani Adamson
 
Wamekubali elfu hamsini kila kijiji, flyover, laptop kwa kila mwalimu, viwanda vikuu kuu, mahakama ya mafisadi, madaraja, yaan hata kwa uchawi mahakama ya mafisadi haiwezekani, na mengne mengi tu, naomba miaka hii mitano niwe hai

Ngoja na mimi niombe uhai nije niyashudie hayo maajabu ya magufuli maana utekelezaji wake unahitaji miujiza
 
Wakuu,
Kwanza natoa pongezi zangu za dhati kwa watanzania kwa kushiriki kwa wingi katika mchakato mzima wa uchaguzi mpaka kufikia hatua ya leo ambapo tume imemtangaza mshindi.
Pamoja na mengi yaliyojitokeza katika uchaguzi wa mwaka huu kumekuwa na wimbi mkubwa la watabiri na 'watumishi wa mungu' ambao wamedai kutumwa na Mungu kuleta 'Unabii' kwa watanzania juu ya 'chaguo la Mungu' katika kuiongoza nchi hii.
Wapo waliothubutu hata kuagiza kwamba wapo tayari kuuwawa endapo unabii wao hautakuwa kweli.
Je,muda umefika sasa kwa watanzania kuanza kuwatembelea watabiri na manabii hawa mmoja baada ya mwingine tukiwa na ujira mkononi ili kumlipa kila mmoja sawasawa na matendo yake?
Je utabiri/unabii usipotimia una tofauti gani na ramli chonganishi?
Je hawa manabii/watabiri wanastahili kupewa nafasi gani katika jamii yetu?
Jongeeni hapa wakuu tukumbushane kuhusu tabiri na nabii hizo na mchango wake katika kushawishi kura za watanzania.
 
Kwa hali ilivyo ndani ya taifa ili sio shwari kabisa na ukitizima mitizamo ya wana ukawa imekwama na ni ule mpango wa kupiga dili zao kwa kumtumia lowasa kushindwa pia nikumbushe ccm mtandao wao ni mkubwa kama mtawala pia tuliambiwa lowasa alihaidi swala la kulinda kura apewe yeye na cha kushangaza vijana wa IT wa ukawa walikuwa wanatumia mfumo wa mbovu kufanya tally pia niseme ni muda wa ccm kuleta mabadiliko naamin jp magufuli anatosha

Mungu ibariki tz mungu mbariki rais wetu
 
Umejifunzia hesabu wapi?
58% ya wapiga kura halali sio 58% ya watanzania wote.
6000000/53000000*100
Rekebisha kichwa cha habari
 
Maneno ya mfa maji mtakaaa mkisubiri Nchi imshinde na dua zenu mbaya, MUNGU HANAWAPENDA SANA WATANZANIA NDIO MAANA KATUPA RAIS BORA NA C BORA RAIS, TANZANIA KWANZAA MAJUNGU HAYANA NAFASI (HAPA KAZI TU)
 
Nadhani Lowasa kachanganyikiwa-kwani nimesikia anasema eti tume imtangaze yy kwani matokeo yake yanaonyesha kuwa kashinda kwa 62% huyu jamaa ni mbabe kiasi cha kuamuru tume imtangaze kwa data zake za nyumbani kwake.

usiumize kichwa mkuu ona aina ya watu wanaomzunguka .. kama SUMAYE MNGEJA KINGUNGE NA MREMA NDIO CAMPENI MENAJA WAO UNATEGEMEA NINI , Wao wanamdanganya et yeye kashinda mara mara kura zinachakachuliwa . wakiambiwa. waongeshe ushahidi hawataki , wao kulalamika tuuu
 
Ngoja tuone, chizi kapewa pangs sokoni na akiamua kufyeka chochote mbele yake hakuna WA kumzuia.
Jk upo? Malipo hapa hapa...
 
Ameshinda kwa asilimia 58.4% the lowest percent in history of Tanzania
Ndugu unaamini kuwa ameshinda?
Tume inatangaza, Mgombea ametangazwa kuwa ameshinda....hilo la kuchaguliwa na wengi mimi sina uhakika.
Tusubiri Chadema/UKAWA kama watatoa vielelezo vinavyothibitisha malalamiko yao kuwa wameibiwa ushindi.

Lakini nina wasiwasi kuwa wadanganyika wanaweza kumpigia "kula" mtu mwenye jina linaloambatana na mambo ya kilevi, hiyo itafanyika tu kama watu hao hawajielewi pia kama ni wapumbavu na malofa.

Unafikiri ni kwa bahati mbaya kuwa matokeo ya Uraisi hayawezi kuhojiwa mahakamani?
Huwezi kupinga matokeo ya Urais Mahakamani kwa hivyo goli la mkono liko hapo na litaendela kuwa hapo mpaka pale huu upuuzi utakapobadilishwa.
 
Sasa ni mwisho wa siasa za uchaguzi mkuu, hongera sana Dr. JPM. Huyu ni raisi wetu wote, tumpe ushirikiano, tujenge nchi yetu.
 
Kwa hali ilivyo ndani ya taifa ili sio shwari kabisa na ukitizima mitizamo ya wana ukawa imekwama na ni ule mpango wa kupiga dili zao kwa kumtumia lowasa kushindwa pia nikumbushe ccm mtandao wao ni mkubwa kama mtawala pia tuliambiwa lowasa alihaidi swala la kulinda kura apewe yeye na cha kushangaza vijana wa IT wa ukawa walikuwa wanatumia mfumo wa mbovu kufanya tally pia niseme ni muda wa ccm kuleta mabadiliko naamin jp magufuli anatosha

Mungu ibariki tz mungu mbariki rais wetu

Nakukubalia hapo kwenye RED.
 
DSC01847.jpg
 
Aaaamin...alipangalomungu mchawi hawez panguaaaa...what we need what we have granted "HAPA KAZI TU"...hakuna mfano wako daah umemuumiza BaBU wa watu vibaYa Yupo hoi..."HATUKUMTAKA HATA MUNGU HAKUMTAKA PIA"...let our TANZANIA being as TANZANIA THE HOME OF MERCY & LOVE we peacefully we harmonlly...HAPA KAZI TU.


Usimtaje Mungu katika ulaghai asije akakupiga kibao cha uso ukashindwa kuona milele.

Imeandikwa "USILITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"

Kuwa makini. Siyo jina la kutaja taja hata katika ulaghai.
 
Back
Top Bottom