hzo ni feki na bb5 kuna sl3 zinatoka kwa credit na bb5 za kawaida zinatoka lock free kuna program kibao za kunlock hzo bila kutumia hwk utatumia tu kama interface mkuu kwa maelezo zaidi ni pm tu mkuu tusaidiane zaidi
Why pm weka vitu hapa na sisi tuchangie. Well hakunafeki hapo Ila setup ilikuja kwenye cd inakuwa ya zamani sana, ile setup ya zamani GUI yake ilikuwa haina option ya ku-unlock bb5. Ukidownload setup mpya utapata inayounlock bb5 sl1 sl2 and The so called sl3 for free. Swali 1. Unatumia setup gani?
2. Models za bb5 ulizojaribu ni zipi?
talking about phone issues nina swali lifuatalo. is it possible kukatengenezwa telephone directory yenye mobile phones zote na majina ya wahusika kama wafanyavyo ttcl? i think kwa mtindo huu hata mambo ya uhalifu na kashfa mbalimbali za kutumia cellphones yatapungua.

Wazo zuri, waandikie providers na tume ya mawasiliano. Labda pia copy kwa mkuu wa Polisi ?
itakuwa ugomvi sana. unajua kuna baadhi ya majina yamekosewa. sasa mtu akiangalia kwenye hicho kitabu halafu akataka kumpigia lets say mariam halafu dume likapokea kwa ujasiri linaitwa lets say david.itakuwaje
TCRA ndio wapo Mbioni kuanzisha hii kitu kwa kimombo inaitwa CEIR Central Equipment Register.ambapo data za wamiliki wa simu ktk mitandao yote apa nchini zitakuwa in one database.So far makampuni yote ya simu yameshafunga hiyo system bado sasa kwa TCRA kuwaunganisha baada ya apo Ukiibiwa simu alafu voda mfano wakaifunga utakuta ukiweka chip ya Tigo inafanya kazi,lakini baada ya kufunga hii kitu simu ikiibiwa na ikaripotiwa aitofanya kazi apa Tanzania.hii system then itakuwa linked na ya kimataifa ambayo inadata base za simu zote za ulaya n.k. Lengo ni kuwa one day simu iliyoibiwa isifanye kazi popote pale duniani
drphone waiiiit wait wait I didnt say sl3 but "the so called sl3" its the type of sl2 phones with Security Level 2. (7210c, 5800, 5220, and so on...)ni mpango mzuri sana ukizingatia no zote zimeshasajiliwa ila swala la cm ikiibiwa isitumike popote duniani hilo sahau kdogo
Kwako kvn power na dr 4ne. Jana nilipata Proglam ile ya j.a.f kisha nikaelekezwa namna kui confg ili ifanye kazi via tonardo box, nilifanikiwa vizuri. Swali je contact service ya nokia 5310 inaweza kutoka kupitia jaf with tonardo box?au kuna ma utundu mengine?

Mkuu hwk naweza nikaamini kwamba ni feki ila je haina ujanja wa ku update?
drphone waiiiit wait wait I didnt say sl3 but "the so called sl3" its the type of sl2 phones with Security Level 2. (7210c, 5800, 5220, and so on...)