Dr.phone tazama humu na wenye ujuzi wa simu.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Dr.phone na wengine Jamani mimi nina flash box imeandikwa ufsx+hwk pia ina main setup cd yake yenye files za bb5 ila tangu niinunue haijaweza ku unlock cm ya bb5 sana inaweza dct3 na kidoogo dct4. Japokuwa ndani ya box kuna kifaa hwk.
 
hzo ni feki na bb5 kuna sl3 zinatoka kwa credit na bb5 za kawaida zinatoka lock free kuna program kibao za kunlock hzo bila kutumia hwk utatumia tu kama interface mkuu kwa maelezo zaidi ni pm tu mkuu tusaidiane zaidi
 
Why pm weka vitu hapa na sisi tuchangie. Well hakunafeki hapo Ila setup iliyopo kwenye cd itakuwa ya zamani sana, ile setup ya zamani GUI yake ilikuwa haina option ya ku-unlock bb5. Ukidownload setup mpya utapata inayo-unlock bb5 sl1 sl2 and 'The so called sl3' for free. Swali 1. Unatumia setup gani?
2. Models za bb5 ulizojaribu ni zipi?
 
talking about phone issues nina swali lifuatalo. is it possible kukatengenezwa telephone directory yenye mobile phones zote na majina ya wahusika kama wafanyavyo ttcl? i think kwa mtindo huu hata mambo ya uhalifu na kashfa mbalimbali za kutumia cellphones yatapungua.
 
Why pm weka vitu hapa na sisi tuchangie. Well hakunafeki hapo Ila setup ilikuja kwenye cd inakuwa ya zamani sana, ile setup ya zamani GUI yake ilikuwa haina option ya ku-unlock bb5. Ukidownload setup mpya utapata inayounlock bb5 sl1 sl2 and The so called sl3 for free. Swali 1. Unatumia setup gani?
2. Models za bb5 ulizojaribu ni zipi?

kwann tatizo likowapi calvin tupo kwenye ulimwengu wa utandawazi hzo ufsx nyingi uwezi kutumia setup mpya na uwezi ukaupdate hwk unless iwe na org hwk.
which sl3 ur unlocking for free tupeane breaking news
 
talking about phone issues nina swali lifuatalo. is it possible kukatengenezwa telephone directory yenye mobile phones zote na majina ya wahusika kama wafanyavyo ttcl? i think kwa mtindo huu hata mambo ya uhalifu na kashfa mbalimbali za kutumia cellphones yatapungua.

Wazo zuri, waandikie providers na tume ya mawasiliano. Labda pia copy kwa mkuu wa Polisi ?
 
nafikiri peleka wazo hli tcra kabla wengine awajakuwai
 
itakuwa ugomvi sana. unajua kuna baadhi ya majina yamekosewa. sasa mtu akiangalia kwenye hicho kitabu halafu akataka kumpigia lets say mariam halafu dume likapokea kwa ujasiri linaitwa lets say david.itakuwaje
 
Wazo zuri, waandikie providers na tume ya mawasiliano. Labda pia copy kwa mkuu wa Polisi ?

TCRA ndio wapo Mbioni kuanzisha hii kitu kwa kimombo inaitwa CEIR Central Equipment Register.ambapo data za wamiliki wa simu ktk mitandao yote apa nchini zitakuwa in one database.So far makampuni yote ya simu yameshafunga hiyo system bado sasa kwa TCRA kuwaunganisha baada ya apo Ukiibiwa simu alafu voda mfano wakaifunga utakuta ukiweka chip ya Tigo inafanya kazi,lakini baada ya kufunga hii kitu simu ikiibiwa na ikaripotiwa aitofanya kazi apa Tanzania.hii system then itakuwa linked na ya kimataifa ambayo inadata base za simu zote za ulaya n.k. Lengo ni kuwa one day simu iliyoibiwa isifanye kazi popote pale duniani
 
itakuwa ugomvi sana. unajua kuna baadhi ya majina yamekosewa. sasa mtu akiangalia kwenye hicho kitabu halafu akataka kumpigia lets say mariam halafu dume likapokea kwa ujasiri linaitwa lets say david.itakuwaje

yani patakuwa apatoshi mana unauhakika unampigia jike mara dume linapokea kwa base alafu ukimwambia nimekosea no ataki kukubali kwamba umekosea we
 
TCRA ndio wapo Mbioni kuanzisha hii kitu kwa kimombo inaitwa CEIR Central Equipment Register.ambapo data za wamiliki wa simu ktk mitandao yote apa nchini zitakuwa in one database.So far makampuni yote ya simu yameshafunga hiyo system bado sasa kwa TCRA kuwaunganisha baada ya apo Ukiibiwa simu alafu voda mfano wakaifunga utakuta ukiweka chip ya Tigo inafanya kazi,lakini baada ya kufunga hii kitu simu ikiibiwa na ikaripotiwa aitofanya kazi apa Tanzania.hii system then itakuwa linked na ya kimataifa ambayo inadata base za simu zote za ulaya n.k. Lengo ni kuwa one day simu iliyoibiwa isifanye kazi popote pale duniani

ni mpango mzuri sana ukizingatia no zote zimeshasajiliwa ila swala la cm ikiibiwa isitumike popote duniani hilo sahau kdogo
 
Dah! Wakuu saafi sana mmenipa mtazamo mpya kuhusu ufs+hwk japo sijafaham tatizo lipo ktk hwk au cd.mean hwk ni feki au cd ni za zamani.pia naomba mnifahamishe wapi mnapenda kutembelea.1 gsm forum?kurinay? Gsm friends au mobile unlock forum. Asanteni bazazi.
 
Kwako kvn power na dr 4ne. Jana nilipata Proglam ile ya j.a.f kisha nikaelekezwa namna kui confg ili ifanye kazi via tonardo box, nilifanikiwa vizuri. Swali je contact service ya nokia 5310 inaweza kutoka kupitia jaf with tonardo box?au kuna ma utundu mengine?
 
Mkuu hwk naweza nikaamini kwamba ni feki ila je haina ujanja wa ku update?
 
Kwako kvn power na dr 4ne. Jana nilipata Proglam ile ya j.a.f kisha nikaelekezwa namna kui confg ili ifanye kazi via tonardo box, nilifanikiwa vizuri. Swali je contact service ya nokia 5310 inaweza kutoka kupitia jaf with tonardo box?au kuna ma utundu mengine?
 
ni mpango mzuri sana ukizingatia no zote zimeshasajiliwa ila swala la cm ikiibiwa isitumike popote duniani hilo sahau kdogo
drphone waiiiit wait wait I didnt say sl3 but "the so called sl3" its the type of sl2 phones with Security Level 2. (7210c, 5800, 5220, and so on...)
 
Kwako kvn power na dr 4ne. Jana nilipata Proglam ile ya j.a.f kisha nikaelekezwa namna kui confg ili ifanye kazi via tonardo box, nilifanikiwa vizuri. Swali je contact service ya nokia 5310 inaweza kutoka kupitia jaf with tonardo box?au kuna ma utundu mengine?

JAF is a dead project. Contact service inasababishwa na mambo mengi sana.sanasana kuharibika kwa pm area. kama nilivyosema jaf is DEAD. its not a professional tool anymore, Kuna kitu kinaitwa SX4 hii inakuwezesha kukuunganisha kwenye server ya nokia ili uweze kuandika pm kwenye hiyo simu. sasa sijui kama jaf wanayo au inafanya kazi coz its an old tool. mkuu try to check online kama hardware key yako ni original. lakini ni vizuri tukamsikia na drphone.
 
Kwako kvn power na dr 4ne. Jana nilipata Proglam ile ya j.a.f kisha nikaelekezwa namna kui confg ili ifanye kazi via tonardo box, nilifanikiwa vizuri. Swali je contact service ya nokia 5310 inaweza kutoka kupitia jaf with tonardo box?au kuna ma utundu mengine?

@slave
5310 ni bb5 na nyingi ni sl3 na ikiwa sl3 ni ngumu kutoa badala ya kutumia jaf tumia mxkey donge or cyclone box or ub-box or mt-box nokia ndounaweza patamsaada zaidi ila kama ni sl3 utoweza ni mpaka kwa rpl
 
Mkuu hwk naweza nikaamini kwamba ni feki ila je haina ujanja wa ku update?

feki akuna ujanja mana ili update nilazima update kwenye server zao kana kmeo awaitambui ila kunasetup moja inakubali bila update ila ndoupati ila latest upadate ila nakushauri ununue hwk org ni nzuri itakusaidia sana mkuu
 
Back
Top Bottom