Kuna nchi imemchagua raisi ambaye ni Comedian kikubwa ana uwezo wa kuongoza na kujenga hoja...ANZENI KUTUONDOLEA MWENYEKITI WA CHAMA AMBAYE NI DJ
Kwenda zako wewe. Karibu nikupe 'thanks' ila uliposema kabudi kilaza ndio nikakuona kumbe ni nyumbu.PhD isikutishe, ni kama Guli tu na vilaza wake kama Propesa Kabudi!
Huyo jamaa ni bashite...Yani huyo mkuu mmoja wa mkoa umeshindwa kumtaja kwenye malalamiko yako ila wengine unawataja mpaka na majina..huo ndio unafki wenyewe mna wambia watu tuandamane wakati mnajijua fika UOGA umewajaa hadi kwenye ulimi..ila kwenye kuandika TU hatujambo.
Ukiamua kutaja watu taja bila uoga,kwani si unaongea ukweli? huyo mkuu mmoja wa mkoa unafkiri hatumjui au? MTAJE ili tujue kweli unamaanisha ukilalamika.
Ndio nyie mnaosemaga Nimepigwa Nimepigwa unaulizwa nani aliekupiga Hutaki kusema unasema NAMWACHIA MUNGU aseee katika dunia ya leo tunataka Front line people wanaoweza andika/kuongea ukweli bila chembe ya uoga ilimradi hawamsingizii mtu.
Achaga uoga siku ingine..
MALALAMIKO YAKO YAMESIKIKA.
NEC Mungu anawaona mnavyochezea kodi zetu kwa kujaza vilaza bungeni.Halafu kapita bila kupingwa???
Anakupa hi kwanza!Mpaka sasa wametafuna mikoa mingapi?
Leo katika kipindi Cha maswali na majibu Mhe.Spika alimpa nafasi Mbunge aliyeapishwa leo kwa Jimbo la Arumeru kuuliza swali la nyongeza lakini Mbunge huyu alishindwa kufanya hivyo.
Kwanza alianza kujipongeza yeye na kumpongeza Mhe.Rais kwa kazi nzuri anayofanya, akaendelea kushukuru kwa kuiingia bungeni mara ya kwanza. Akaendelea kutoa pongezi hadi wabunge wenzake wakaanza kumtetea chini chini kuwa ni mgeni na hakujiandaa, mara spika akamkatisha kuokoa jahazi.
Mbunge huyu ni msomi wa PHD, alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge lakini akashindwa kwenye kura za maoni na mara ya mwisho akashindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Hii inaonyesha alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge na hivyo kwa usomi wake anapaswa kujua tamaduni za kibunge kupitia kuliona bunge lakini pia kupitia tovuti na machapisho mbalimbali .
Kwa namna alivyoshindwa leo kuuliza swali la nyongeza napata shida kama kweli anajua wananchi wanataka nini. Kitendo Cha kusifia na kujipongeza ni ishara kwamba lipo tatizo la watu kujifunza na kuelewa majukumu ya kazi anayoomba kabla ya kuomba kazi husika.
Muda aliopata toka ateuliwa na tume kuwa Mbunge ulitosha kujisomea, sidhani kama anaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake.......anaonekana kupwaya
Siasa za zama za mawe zipo Tanzania tuAlipita bila kupingwa atii
Ndiyo shida ukiwa ccm maana huko wao hujua kusifia au kupiga madiliLeo katika kipindi Cha maswali na majibu Mhe.Spika alimpa nafasi Mbunge aliyeapishwa leo kwa Jimbo la Arumeru kuuliza swali la nyongeza lakini Mbunge huyu alishindwa kufanya hivyo.
Kwanza alianza kujipongeza yeye na kumpongeza Mhe.Rais kwa kazi nzuri anayofanya, akaendelea kushukuru kwa kuiingia bungeni mara ya kwanza. Akaendelea kutoa pongezi hadi wabunge wenzake wakaanza kumtetea chini chini kuwa ni mgeni na hakujiandaa, mara spika akamkatisha kuokoa jahazi.
Mbunge huyu ni msomi wa PHD, alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge lakini akashindwa kwenye kura za maoni na mara ya mwisho akashindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Hii inaonyesha alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge na hivyo kwa usomi wake anapaswa kujua tamaduni za kibunge kupitia kuliona bunge lakini pia kupitia tovuti na machapisho mbalimbali .
Kwa namna alivyoshindwa leo kuuliza swali la nyongeza napata shida kama kweli anajua wananchi wanataka nini. Kitendo Cha kusifia na kujipongeza ni ishara kwamba lipo tatizo la watu kujifunza na kuelewa majukumu ya kazi anayoomba kabla ya kuomba kazi husika.
Muda aliopata toka ateuliwa na tume kuwa Mbunge ulitosha kujisomea, sidhani kama anaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake.......anaonekana kupwaya
Sijabahatika kuona hiyo video lakini kama uliyo yaandika hapa ni kweli ,hii ni aibu sana kwa taifa na ni dhahiri kuwa hataweza kuvivaa viatu vya mtangulizi wake.
Tuwe na desturi ya kujisomea na kitembea YouTube tuwapo na nafasi
Napenda taratibu za kijapan pale mtu anaposhindwa kuonesha uwezo wa utendaji kazi,alafu unakuta boss ni mtu kama Tagawa.Leo katika kipindi Cha maswali na majibu Mhe.Spika alimpa nafasi Mbunge aliyeapishwa leo kwa Jimbo la Arumeru kuuliza swali la nyongeza lakini Mbunge huyu alishindwa kufanya hivyo.
Kwanza alianza kujipongeza yeye na kumpongeza Mhe.Rais kwa kazi nzuri anayofanya, akaendelea kushukuru kwa kuiingia bungeni mara ya kwanza. Akaendelea kutoa pongezi hadi wabunge wenzake wakaanza kumtetea chini chini kuwa ni mgeni na hakujiandaa, mara spika akamkatisha kuokoa jahazi.
Mbunge huyu ni msomi wa PHD, alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge lakini akashindwa kwenye kura za maoni na mara ya mwisho akashindwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2015. Hii inaonyesha alijipanga muda mrefu kuwa Mbunge na hivyo kwa usomi wake anapaswa kujua tamaduni za kibunge kupitia kuliona bunge lakini pia kupitia tovuti na machapisho mbalimbali .
Kwa namna alivyoshindwa leo kuuliza swali la nyongeza napata shida kama kweli anajua wananchi wanataka nini. Kitendo Cha kusifia na kujipongeza ni ishara kwamba lipo tatizo la watu kujifunza na kuelewa majukumu ya kazi anayoomba kabla ya kuomba kazi husika.
Muda aliopata toka ateuliwa na tume kuwa Mbunge ulitosha kujisomea, sidhani kama anaweza kuvaa viatu vya mtangulizi wake.......anaonekana kupwaya
mamaaaaaaJamani hii ni aibu, sasa huyu mbunge anaweza kueleza shida kweli za jimbo lake la arumeru mashariki
Jamani kama huelewi video hii hapa tunaenda wapi Tanzania mbona mnatuwekea vilaza bungeni ? Aaaaaaaaah