Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 472
Umri wangu ni zaidi ya miaka 40. Ninaumwa nyonga. Nimetumia dawa za kuondoa maumivu za aina mbalimbali bila mafanikio. Miaka miwili iliyopita nilifanyiwa operation ya kuondoa fibroids. Sijui kama ndio inaweza kuwa sababu au vipi. Nimeshapimwa vipimo mbalimbali naambiwa sina tatizo. Naombeni ushauri au ikiwezekana tiba kabisa.