Dr. nisaidie

Ndege Tausi

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
992
472
Umri wangu ni zaidi ya miaka 40. Ninaumwa nyonga. Nimetumia dawa za kuondoa maumivu za aina mbalimbali bila mafanikio. Miaka miwili iliyopita nilifanyiwa operation ya kuondoa fibroids. Sijui kama ndio inaweza kuwa sababu au vipi. Nimeshapimwa vipimo mbalimbali naambiwa sina tatizo. Naombeni ushauri au ikiwezekana tiba kabisa.
 
Dah pole Sana ningekushauri uende Hospital Ila unanishangaza unavyonambia VIPIMO HUNA tatizo. Ushauri angalia na njia nyingine hasa ya maombi kama unamwamini yesu utapona. Ndege tausi
 
Umri wangu ni zaidi ya miaka 40. Ninaumwa nyonga. Nimetumia dawa za kuondoa maumivu za aina mbalimbali bila mafanikio. Miaka miwili iliyopita nilifanyiwa operation ya kuondoa fibroids. Sijui kama ndio inaweza kuwa sababu au vipi. Nimeshapimwa vipimo mbalimbali naambiwa sina tatizo. Naombeni ushauri au ikiwezekana tiba kabisa.
Pole, You need Prayers then!

Kumbuka kuwa, Mungu ndie Mponyaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom