Dr Ndodi Acha Wizi!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
 
Sa ivi amejichimbia
Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii
utaisha lini?
TRA mpo wapi?

KakaJambazi bwana,yaani unamtolea makavu laivu jambazi mwenzako,teh teh teh,wajinga hawaishi mkuu,acha wapigwe,tena amelenga ameenda kwenye madini kabisa ili awapige vizuri
 
Last edited by a moderator:
KakaJambazi bwana,yaani unamtolea makavu laivu jambazi mwenzako,teh teh teh,wajinga hawaishi mkuu,acha wapigwe,tena amelenga ameenda kwenye madini kabisa ili awapige vizuri

Mkuu mi nilishaokoka, afu nilikua situmii gia ya ulokole ka Ndodi katika kuwaliza watu.
Naona amekimbilia huko ambako magonjwa ya vumbi na heavy metals yaliko shamiri. Wakija janjaruka, ye atakua keshakimbilia Dar.
 
Last edited by a moderator:
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?

KakaJambazi, sasa hivi ujambazi unafanywa kidigiti na siyo kianalogia kama ulivyokuwa ukifanya wewe enzi zile za mwalimu! Ndodi sasa hivi anajiita daktari, kasomea wapi hiyo fani ya udaktari? Anasema anatoa ushauri bure na tiba bure lakini ukitaka kumwona unatakiwa kwenda na shilingi 50,000/- za kununulia kitabu cha tiba mbadala! Wizi mtupu!!!!
 
Umenikumbusha ile ya "piga simu bure na upate mb 50 kwa sh 500/=" Masharti na vigezo kuzingatiwa.Sa sijui hiyo bure inatoka wapi!
 
Mkuu mi nilishaokoka,
afu nilikua situmii gia ya ulokole ka Ndodi katika kuwaliza watu.
Naona amekimbilia huko ambako magonjwa ya vumbi na heavy metals yaliko
shamiri. Wakija janjaruka, ye atakua keshakimbilia Dar.

ha ha ha haaa,huyu jamaa ana tactics sana,yaani yeye anaangalia udhaifu wako anakupiga hapo hapo,tapeli sana huyu mbulura
 
alikua kidogo tu utasikia vitambi n tatizo vitambi tatizo,saiv nae kitumbo kinatuna,chezea elf hamsin hamsin wewe.

e bana kweli kabisa huyu jamaa anayetibu bila kidonge wala sindano wakati ule miaka kama 4 au 5 nyuma alikuwa mwembamba kabisa saivi kavimba mbaya kabisa... Ama kweli akili ni nywele
 
Sa ivi amejichimbia Geita, eti ukitaka kwenda kumwona, uende na 50,000/=. Huu wizi nchi hii utaisha lini?
TRA mpo wapi?
huduma za afya na elimu hazitozwi kodi mkuu kwa sheria za Tanzania! but huyu mtu anamake alot of money kwa kutumia fursa hiyo ya sera mbovu za nchi yetu!
 
KakaJambazi, sasa hivi ujambazi unafanywa kidigiti na siyo kianalogia kama ulivyokuwa ukifanya wewe enzi zile za mwalimu! Ndodi sasa hivi anajiita daktari, kasomea wapi hiyo fani ya udaktari? Anasema anatoa ushauri bure na tiba bure lakini ukitaka kumwona unatakiwa kwenda na shilingi 50,000/- za kununulia kitabu cha tiba mbadala! Wizi mtupu!!!!
kuna siku nilikuwa namwambia mtu kama ndondi ni daktari basi hata mimi mwl wa biolojia ni daktari alicheka sana.
halafu hivi hi prefix ya Dr siku hizi haina heshima enh!!
mtu hajaenda medical schoo ata akapata cheti anasea ni dr
mtu hajaenda shule ya phd nae anajiita Dr eti anapewa wa heshima, heshima my foot.....................
 
hawezi kuwa mburula na maisha ndio yako hivyo angekuwa ni kaka au baba yako yule ungemkubali sana tuu sema ndio hivyo! Tz ukipata umaarufu flani tuu unapiga hela sana as long as unajua kula na vipofu na kumaintain ur status na kuchange tactis na promotions na kwenda na wakati mfano sikiliza wapo radio utagundua wachungaji wote wanaorushwa pale wanahubiri kuhusu watu kuwa na chuki na visasi mioyoni mwao amabyo ni obvious watu wengi wanavyo na topic ndio hot sasa so wanapata wateja wengi na wanasomana kwenye game miezi minne iliyopita karibu wote walikuwa wanahubiri kuhusu kuneneshwa kwa lugha na kupata maono...so game is like that na wajinga ni wengi wanaliwa!!bora hata huyo ndodi baadhi ya dawa lishe zake zinafanya kazi na worldwide used(materials) kuliko wachungaji hewa....kujiita dokta sio kesi kiswahili chake ni mganga so anaweza kuwa wa kienyeji au kisasa!!
ha ha ha haaa,huyu jamaa ana tactics sana,yaani yeye anaangalia udhaifu wako anakupiga hapo hapo,tapeli sana huyu mbulura
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom