Dr. Nchimbi, the era of President Samia has began

Kuna siku niliota Ruangwa kapindua meza kibabe dk za mwisho..na kapata wajumbe wengi waliomuunga mkono
 
Huyu Subash Patel bado yupo hai mkuu?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app

Subash Patel ni marehemu lakini Esteem construction bado ipo; na pia ndio iliyojenga barabara ya Bagamoyo to Msata baada ya kampuni ya Kikorea kulipwa fedha zote za barabara na kukimbia nchini hivyo barabara hiyo kujengwa kwa mara mbili ya budget yake!!! Hakuna aliyewajibishwa kwa utapeli ule!!!
 
Pengine ulikuwa hujazaliwa!! Ule mzigo uliotolewa BOT enzi ya marehemu Balali ulikuwa na kilo ngapi? Nchi hii imepigwa sana!!!
Halafu hizo trilioni 1.5 umekuwa ni wimbo wa kila siku ambao hauna ushahidi wowote, ukiwauliza wanaouimba ni wapi imeandikwa kuwa kiasi hicho kiliibiwa au kilipotea au kilitumika kwa miamala isiyojulikana, hawajui; wao walidakiza aliyosema Zitto tu. Kuna mtu mmoja nilimletea ripoti zote za CAG Assad za miaka mitano nikamwuliza anionyeshe ni wapi panapoonyesha upotevu au wizi wa trlilioni 1.5 hakujibu mpaka leo.
 
Ushahidi upi unataka
 
Usinulize kwanini na hasa kwa nini wakati huu.

The man is smart, Energetic , Master mind, Planner nk...

Na sasa wale wapinzani wa Mama Samia hesabuni Maumivu.

Sio lazima ateuliwe anaweza kuwepo tuu background na kila kitu kikaenda. Tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM had uwaziri hatuna shaka nae. Mlioanza siasa awamu ya tano hamumjui Kaeni kimya

2025 tunakwenda na Mama Samia
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Dr. Nchimbi si ndiye aliogonza kundi la wahuni wa kumdiss Kikwete wakati wa mkutano mkuu wa CCM wakimtaka Lowassa!!?
 
Hahahaaa jobless kama ww

As long as Mkwere ndio anamuongoza Samia hawezi kuwa jobless; Amos Makalla si alikuwa machina Kwa Muda merlu, lakini Vasco Dagama akafanya vitu vyake akaukwaa kuwa RC from no where!!! DEEP STATE!
 
Nape anajua sana ufisadi wa Nchimbi ukiwemo wizi wa fedha za kujenga hilo ghorofa la vijana hapo Kisutu ambapo Huyu Nchimbi alikula na Subash Patel [ Esteem constructio] ndugu ya mkwere!!
Si Kama jamaa wa Chato alivyokua anapiga na wale wakina MAYANGA tu.Ndio CCM hio.
 
Usinulize kwanini na hasa kwa nini wakati huu.

The man is smart, Energetic , Master mind, Planner nk...

Na sasa wale wapinzani wa Mama Samia hesabuni Maumivu.

Sio lazima ateuliwe anaweza kuwepo tuu background na kila kitu kikaenda. Tunaomfahamu tangu akiwa UVCCM had uwaziri hatuna shaka nae. Mlioanza siasa awamu ya tano hamumjui Kaeni kimya

2025 tunakwenda na Mama Samia
Rais Samia
#KAZI IENDELEE
Una uhakika na haya unayosema? Toka lini nguvu za binadamu kama mimi na wewe zikawa hivyo unavyosema? Tuwe na kiasi. Tunamzibia riziki huyu mzee aliyetishia kutoka ndani ya mkutano mkuu sababu mgombea wake ameachwa
 
Hii hoja Haina upande soma tena
 
Una uhakika na haya unayosema? Toka lini nguvu za binadamu kama mimi na wewe zikawa hivyo unavyosema? Tuwe na kiasi. Tunamzibia riziki huyu mzee aliyetishia kutoka ndani ya mkutano mkuu sababu mgombea wake ameachwa
Hii hoja Haina upande soma tena
 
As long as Mkwere ndio anamuongoza Samia hawezi kuwa jobless; Amos Makalla si alikuwa machina Kwa Muda merlu, lakini Vasco Dagama akafanya vitu vyake akaukwaa kuwa RC from no where!!! DEEP STATE!
Assumption
 
Back
Top Bottom