Dr NCHIMBI ACHA KULALA

Mkono

JF-Expert Member
May 7, 2010
568
89
Baada ya baraza la mawaziri kuapishwa juzi nilitegemea kila waziri angeanza mchakato wa kuangalia mapungufu yaliyomo kwenye wizara yake kama walivyo fanya akina dr Magufuri na dr Mwakyembe,ila kwa upande wa wizara ya akina dr Nchimbi wameshindwa walau kuanza na haya mashindano ya CECAFA yameanza kwa kudorora na bado hiyo hali inaendelea ,kituko cha mechi za leo kuanza huku kukiwa hakuna tiketi ni aibu kwa nchi yetu ikzingatiwa mechi zote leo zilikuwa za wageni.
 
Once again, the minister is a solution to every problems! create more ministry, if it helps
 
Back
Top Bottom