Dr. Namala Mkopi (kiongozi wa MAT) afikishwa mahakama ya Kisutu

Hata Gaddaffi alishika mpini kwa muda flani! Unajua yeye yuko wapi na familia yake je? Fikiria zaidi ya kesho, siyo ukishiba leo ndo umeukata!!!
Vijana Tanganyika si Lybia na mnajidanganya kufikiri hivyo.
Kama wewe ni daktari nenda pale umma wa kariakoo na ujigambe- kama hujararuriwa kama mpira wa kona.
 
Nafikiri ni vizur watu wa Tz kuelewa nchi yenu inaongozwa kwa Rules of Law. Kwa misingi hiyyo kila muhimili unajitegemea katika kuendesha nchi. yaani Mahakama, Serikali na Bunge. Na vyote haviwezi kungiliana katika maamuzi.

Fuateni sharia mlizojitungia wenyewe katika Katiba yenu

Mkuu siku nyingi sijakuona jukwaani. vipi ulijiunga na UAMSHO au ndo ulikuwa unapokea wale twiga wetu walioletwa Doha?
 
Watu wanadai vitendea kazi, nyie mnawashtaki.
Madaktari rudini tu kazini, kwani si kila mmoja anayo lap top,
nendeni tuwe tunabadilishana mawazo humu jf. Kama hakuna hata vya
kupimia homa nini zaidi.

Please rudini tu kazini.
 
inachofanya serikali ni kuwatisha tu...haa ukizingatia kuwa dr mkopi ameandika barua Umojawa mataifa.....kinachofanyika ni kutaka kumnyamazisha tu

U r right,,serikali inajaribu kutumia mbinu zote kuwatisha na kuvuruga mshikamano wao. Kimsingi hata kutekwa,kupigwa kwa Dr Ulimboka ilikuwa mojawapo ya mbinu ya ccm/serikali. hawakukusudia kumuua bali torture ili kutisha wengine
 
I'm not happy, but am glad that Tanzanians can simply recognize a blunder in the CCM government machinery, and readily establish the way forward. Revolution is costly, young Tanzanians who spent ages at the medical school to challenge their intelligibility so that they will be able to help sick people in Tanzania, have decided to spend their time to enforce improvement in health services delivery in the country. Turning the square wheel isn't easy task, but these doctors dare to spin it like any other wheel. I'm glad Tanzanians are behind them as we speak, our trusted religious leaders have rallied behind doctors already. Why are you waiting to join the true revolution that is led by young elite Tanzanians?
 
Kwanini wamlazimishe kutoa tangazo la kusitisha mgomo wakati sio yeye aliyetangaza mgomo, naona serikali inachezea kodi zetu kwa kesi amabazo huna hata hja ya kuweka wakili kushinda.
inamaana selikali ilipo tangaza kuwa mgomo umeisha na huduma zinaimarika siku hadi siku ulikuwa ni uwongo?
 
Madaktari wote waliokwenye mgomo na kuacha ndugu zetu wakifa hovyo nawaona kama mazuzu tu
Ungekuwa na akili timamu usingewalaumu madaktari bali serikali yako iliyojaa udhalimu. Lakini kwa kuwa mang'amuzi huna, ni bure kubishana na mtu kama wewe!!
 
lusinde brain@work

Nchi inatawaliwa na sheria, hawa watoto ambao ni madaktari mtajua the hardway nchi inavyoendeshwa ili hata ninyi mkiikamata mtajua manyoya ya kanga ni yepi na ya kuku ni yepi.
Kwa suala la mgomo huu mmepoteza not only public sympathy lakini hata moral bearings.
Kwa mtu anayejiweza kwa leo ni lazima atakuwa na wasi wasi na taalums hii ya madaktari maana kutibu si kutoa dawa tu bali hata morality inaelekea hakuna.
 
Ndg yangu panadol nahc akil yako si nzima wa akil labda niwalewale..wa mbs ila tambua cdm ni chama makin...
 
Nafikiri ni vizur watu wa Tz kuelewa nchi yenu inaongozwa kwa Rules of Law. Kwa misingi hiyyo kila muhimili unajitegemea katika kuendesha nchi. yaani Mahakama, Serikali na Bunge. Na vyote haviwezi kungiliana katika maamuzi.

Fuateni sharia mlizojitungia wenyewe katika Katiba yenu

In the same line sasa mbona sharia ya kupambana na Ugaidi ya mwaka 2002 huwa mnailalamikia sana?
 
Inakuwaje Mwenyekiti wa MAT kushtakiwa kwa kosa la Mwenyekiti wa Jumuiaya ya Maktari. Ina maana Polisi hawaoni kuwa anaweza kuwashinda na kama sheria ingekuwa inaruhusu angewadai fidia. Lakini sheria hairuhusu Mtuhumiwa kudai fidia ndio maana wamemfikisha mahakamani.

Kaka, tangu lini mbwa wakawa na akili ya kufikiri binafsi zaidi ya kuamrishwa tu hata na mlevi so long as mlevi ndiye mwenye mbwa!
 
N.B. Mgomo huo haukunzishwa na MAT said:
Acha kuweweseka, subiri mahakama iamue.
Mnaanzisha mambo kichwa kichwa kama vile mnabeep....Serikali ikipiga matumbo yanawalegea.

Subirini, mambo bado..... Aliyelikoroga lazima alinywe.
 
Back
Top Bottom