Dkt. Mwigulu Nchemba apata ajali ya gari akielekea Dodoma

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,220
12,937
Mbunge wa Iramba, Mwigulu Nchemba amepata ajali ya gari akiwa barabara ya Iringa kuelekea Dodoma.

Amepelekwa hospitali ya Dodoma.

Taarifa za awali zinasema gari lake liligonga Punda barabarani. Mwigulu amekimbizwa Hospitali ya Dodoma kwa ajili ya matibabu.

Taarifa zaidi zitakujia.

Upadate
“Nilikuwa naelekea Singida kwenye kikao cha kamati ya siasa na Wabunge wa mkoa nikiwa natokea Iringa, nilikuwa naongea na simu ghafla wakakatiza punda watatu na sikuwa nimeona na nilishituka tu mara baada ya dereva kutoa ishara ya kwamba kuna kitendo cha hatari”- Mbunge wa Iramba magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba akiongea akiwa Hospitali baada ya kupata ajali ya gari leo

1550038536272.png
 
Baada ya kudanganya jana clouds 360 juu ya uchunguzi shambulio la Lissu,Mungu kamuonesha kuwa hadhihakiwi!
emebipiwa kidogo aache njaa na usaliti.
Akiwa na dhamana ya uwaziri alimsaliti Lisu kama mbunge, Mtanzania na ndugu yake toka Singida, leo naye amwdungwa mwiba kiduchu, akikaidi zaidi asubirie mwiba wa tatu toka kwa ndg zake wa kijani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom