Nelson Masaduki
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 346
- 380
Katika hali ya kuonekana anamuunga mkono Rais Dr. John Pombe Magufuli, Dr. Mwigulu Nchemba ameweka bayana nia yake ya kuwania Urais mwaka 2020. Kwa maelezo yake, anasema “Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”. Maneno hayo ni ya kiuungwana sana kwa Chama Chake.