Dr. Mwigulu Nchemba akataa kugombea Urais 2020

Nelson Masaduki

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
341
500
Katika hali ya kuonekana anamuunga mkono Rais Dr. John Pombe Magufuli, Dr. Mwigulu Nchemba ameweka bayana nia yake ya kuwania Urais mwaka 2020. Kwa maelezo yake, anasema “Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”. Maneno hayo ni ya kiuungwana sana kwa Chama Chake.

mwigulu.jpeg
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,572
2,000

View attachment 1019628
Hata akigombea, nani ampe kura!!! Labda huko Singida tu.
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,012
2,000
Mwigulu hafai kabisa kuwa Rais, aliachia majambazi akiwa Waziri, rushwa ilitawala pia polisi, ila alivyoingia Lugola kakomesha kila kitu, polisi akila rushwa ni kufukuzwa kazi, majambazi yamekomeshwa..!!

Mwigulu kwa nionavyo hafai kabisa...!! Sio mtendaji kama umma ulivyomdhania, zaidi ya maneno zaidi..!! Yaani Tz inahitaji mtu type ya Mh. Rais Magufuli tu..!!
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,668
2,000
Katika hali ya kuonekana anamuunga mkono Rais Dr. John Pombe Magufuli, Dr. Mwigulu Nchemba ameweka bayana nia yake ya kuwania Urais mwaka 2020. Kwa maelezo yake, anasema “Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”. Maneno hayo ni ya kiuungwana sana kwa Chama Chake.

View attachment 1019628
huyu Mwigulu huyu.... si huyu ndiye aliyeunganisha picha za SGR za KE & TZ halafu akadai zote ni za TZ?
kwa hizi phd zinazogawiwa kama njugu hapa TZ, inawezekana aligewa tu hizo picha na mtoto mmoja wa mjini pale Lumumba st, na yeye akazi post jinsi zilivyo!

hizi phd nyingine ndiyo maana Ben Saanane alikuwa anazifyekelea mbali!
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,808
2,000
Watu bwana, yaani mlitegemea ajibuje?? hata kama anautaka ama hautaki hakuna wa kuthubutu kuchukua form 2020 ndani ya CCM, anayebisha ajifanya anajikuna tuone.
 
Mgoroko

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
692
500
Katika hali ya kuonekana anamuunga mkono Rais Dr. John Pombe Magufuli, Dr. Mwigulu Nchemba ameweka bayana nia yake ya kuwania Urais mwaka 2020. Kwa maelezo yake, anasema “Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”. Maneno hayo ni ya kiuungwana sana kwa Chama Chake.

View attachment 1019628
Wanachama wa ccm wana busara sana,hakika ccm ina makada makini sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
9,112
2,000
“Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”
Haihitaji hata elimu ya darasa la nne la sasa (sio la mkoloni) kulitambua hili. Tena this time around hakuna hata mmoja atayepoteza fedha na muda wake eti kwenda kuchukua form. Jiwe atapitishwa peke yake na NEC. Infact hata wasipoteze pesa kuita wajumbe kwenye mkutano mkuu Dodoma
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,205
2,000
Katika hali ya kuonekana anamuunga mkono Rais Dr. John Pombe Magufuli, Dr. Mwigulu Nchemba ameweka bayana nia yake ya kuwania Urais mwaka 2020. Kwa maelezo yake, anasema “Kwa kazi nzuri anazofanya Rais wetu John Pombe Magufuli, kila mwanaCCM anajua na kufahamu. Kwa sasa nipo bize na jimbo langu, sina mpango wa kugombea URAIS”. Maneno hayo ni ya kiuungwana sana kwa Chama Chake.

View attachment 1019628
Jibu la kinafika moyoni mwake analo jibu sahihi

Hii ni praise team uoga wa kukosa kushibisha tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom