[HASHTAG]#hyumani[/HASHTAG] fesiView attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
Pascal MayallaView attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
"maybe" = sarakasiKuna tofauti kubwa kati ya kuwa mtafiti, na kuwa kiongozi
Maybe Mwele alikua researcher mzuri sana lakini hakua na same qualities kama kiongoxzi wa institution
Huwa unaandika nini wewe mtu?
View attachment 625580
Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic.
Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa Nchini kabla hajafukuzwa kazi na Rais
Tuzo yake haihusiani na uwajibikaji kwa principle za ngosha...ukizingua unatemwa kama kawa haijalishi una tuzo ya trump...hapa kazi tuuu
Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.
Mafanikio hayapimwi kwa elimu uliyo nayo ila hupimwa kwa mali uliyo nayo...kwa hili bashite yupo front line dhidi ya Mwele....Pesa na iheshimiweNaniliu za naniliu zao, jiwe walilolikataa waashi saivi linagewa matuzo tu.
Habari gani bashite kipendaroho
[/QUOTE]Sawa...ila jamaa anakubalika sana kwa wananchi...inawezekana akapita bila kupingwa 2020....!!
Aisee una maanisha nini hapa???Hongera kwake
Kuwemo nchini na kuzingirwa na ya siasa..
Tatizo ni kwamba yeye mwenyewe ni majanga tu! Mwizi, muongo, fisadi, utendaji ZERO. Kule China siku nyingi wangekuwa wameshamchapa risasi kwa ufisadi wake. Hapa kwetu wamemkingia vifua hatimaye wamemsukumizia Ikulu.
Viva Mwele, gap lako NIMR tutalikumbukaView attachment 625580