Dr. Mwele ni mhaini wa uchumi, akamatwe

fc3717d1bb29feda4fcbcb6ab471efca.jpg
tungeanza na uyo aliepembeni yake.
 
HUYU MAMA HAJAKURUPUKA KASEMA KITU HALISIA.PENGINE HII TAARIFA ASINGEITOA DIRECT.ANGEONANA NA WAHUSIKA AITOE.THEN NDIO ITOKE KWENYE JAMII.
Wahusika wapi zaidi ya waziri mwenye dhamana, si unamuina hapo pembeni, huyu mana mama hakukurupuka.
 
Ndo Uwezo wako wa Kufikiria Umeishia Hapo???

MBONA WAZIRI NA WATAALAMU WENGINE WALITAARIFIWA NA WAKASHIRIKISHWA WAKATI WA PRESS. SASA MH RAIS KWANINI HAO HAJAWATUMBUA AU KWAKUWA ANAICHUKIA FAMILIA YA MZEE MALECHELA AKAONA ATUMIE WASAA HUU KUMUANGAMIZA DADA MALECHELA
 
HUYU MAMA HAJAKURUPUKA KASEMA KITU HALISIA.PENGINE HII TAARIFA ASINGEITOA DIRECT.ANGEONANA NA WAHUSIKA AITOE.THEN NDIO ITOKE KWENYE JAMII.
Ulitaka aitoe mbele ya nani tena wakati alikuwepo na waziri wa afya na wahusika wengine wa hiyo research?
 
Back
Top Bottom