Ukijibiwa usisahau kunistuaVipi kuhusu wale waliotangaza ugaidi na wakawa na mapigano na magaidi kule Amboni Tanga hawa sio waliufanya uchumi kukuwa.
Wahusika wapi zaidi ya waziri mwenye dhamana, si unamuina hapo pembeni, huyu mana mama hakukurupuka.HUYU MAMA HAJAKURUPUKA KASEMA KITU HALISIA.PENGINE HII TAARIFA ASINGEITOA DIRECT.ANGEONANA NA WAHUSIKA AITOE.THEN NDIO ITOKE KWENYE JAMII.
Ndo Uwezo wako wa Kufikiria Umeishia Hapo???
Tena msimu wa sikukuu wangekuja wengi kinoma ila huyu mama...Watalii wote karibu wanacancell safari zao kuja bongo
Ulitaka aitoe mbele ya nani tena wakati alikuwepo na waziri wa afya na wahusika wengine wa hiyo research?HUYU MAMA HAJAKURUPUKA KASEMA KITU HALISIA.PENGINE HII TAARIFA ASINGEITOA DIRECT.ANGEONANA NA WAHUSIKA AITOE.THEN NDIO ITOKE KWENYE JAMII.
Ubishi na kujiamini. ..vimemponza. ..ethics muhimu. ..Tena msimu wa sikukuu wangekuja wengi kinoma ila huyu mama