Dr. Mwakyembe: Lugha ya Kiswahili itaanza kutumika mahakama za wilaya na Hakimu Mkazi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
6,042
10,787
Waziri wa Habari, Dkt Mwakyembe asema lugha ya Kiswahili itaanza kutumika katika Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi kote nchini.

Waziri Mwakyembe ameeleza pia, kuanzia sasa miswada ya sheria itakayowasilishwa bungeni itakuwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
 
Kwani wanatumia nini? it is Kiswahili, only the judgement/ruling to be written in English. Mwakyembe vipi Mkuu? Nielimishe labda nasahau
 
Miswada ya sheria au sheria zitakazowekwa kwenye lugha ya Kiswahili italeta mkanganyiko mkubwa sana katika kuitafsiri (law enforcement).

Mfano, sheria inasema 'mtu yeyote atakayekamatwa na bangi, atatiwa hatiani', Mtuhumiwa atajitetea, mimi sijakutwa na bangi, nimekutwa na haya majani ya ng'ombe, nilikuwa nawapelekea ng'ombe wangu wakayale'... Na mwingine atasema kuwa ni chakula cha sungura. n.k.

Kuwafunga watu kwa kutumia sheria za Kiswahili itakuwa ni kazi sana. Kutakuwa na loopholes za kutosha kuukwepa mkono wa sheria.
 
Miswada ya sheria au sheria zitakazowekwa kwenye lugha ya Kiswahili italeta mkanganyiko mkubwa sana katika kuitafsiri (law enforcement)...
Mfano, sheria inasema 'mtu yeyote atakayekamatwa na bangi, atatiwa hatiani', Mtuhumiwa atajitetea, mimi sijakutwa na bangi, nimekutwa na haya majani ya ng'ombe, nilikuwa nawapelekea ng'ombe wangu wakayale'... Na mwingine atasema kuwa ni chakula cha sungura. n.k...
Kuwafunga watu kwa kutumia sheria za Kiswahili itakuwa ni kazi sana. Kutakuwa na loopholes za kutosha kuukwepa mkono wa sheria.
Kwahiyo iwekwe kwa kiingereza ili watu wengi wasiokuwa na uwezo wa kuwalipa mawakili na wasiojua kiingereza wasijue namna ya kujitetea ..

Anha ndio maana kuna idadi kubwa ya wasio na hatia magerezani

Poor them
 
Waziri wa Habari, Dkt Mwakyembe asema lugha ya Kiswahili itaanza kutumika katika Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi kote nchini.

Waziri Mwakyembe ameeleza pia, kuanzia sasa miswada ya sheria itakayowasilishwa bungeni itakuwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Safi sanaaaaaaa.
 
Nadhani ndio anamaanisha hivyo.
Ndio utaratibu, mashauri yote huendeshwa kwa lugha ya kiswahil, judgement/ruling huandikwa kiingereza, this is mandatory!

4.1 The Use of Kiswahili in the Courts

With effect from 1985 it can be confidently stated that the law permits all courts in Tanzania to use Kiswahili, to a certain extent, provided the presiding judge so directs As noted above, the primary courts ar·e required to use Kiswahili in the entire proceedings, thai is both oral and written (sec 13(1) MCA) It is significant to note here that the magistrates who preside over these courts are not professional lawyers. Moreover, no attorneys are permitted to represent clients at this level The proceedings are usually much less formal than the courts above But the significance of Primary Courts lies in their accessibility to wider society Indeed primary courts process the greatest volume of all judicial work in the country

The District courts are also presided over by persons who have some training and experience in law but are not qualified lawyers Many of them are former Primary Court magistrates who have distinguished themselves on the bench. These courts can and do conduct their proceedings in Kiswahili but the Magistrate must write the court record as well as the judgement in English Advocates are permitted to appear at this level of court and are required to make their written submission and cmrespondence with the court in the English language

At the Resident Magistrates' Courts which are presided over by professional lawyers, and where also advocates can appear, Kiswahili is optional but tends to be used more than English in oral proceedings (Kavugha & Bobb 1980) But here again, the court record has to be written in English As noted above, interpreters are available whenever needed and are used when a non-Kiswahili-speak:ing attorney appears for any of the parties There is no political or other pressure on the Magistrate to use either language but from a practical point of view it makes sense to use Kiswahili (quoted from Rwezaula, AAP 37 (1994).. 109-126)
 
kwa hatua hiyo kweli serikali hii ya JPM ni ya vitendo sio maneno!

serikali hii imewafanya wanyonge wajihisi wanathamani kubwa ktk nchi yao kutokana na hatua mbalimbali zinazo chukuliwa,

hatua ya kuruhusu kiswahili kutumika ktk mahakama zetu ni hatua muhimtu sana ktk kurahisisha upatikanaji na uelewa wa kutafuta haki.

lugha ya kingereza imekuwa kikwazo kwa wananchi wa kawaida ambao ndio wengi kushindwa kujua au kufuatilia haki zao.

mabadiliko haya kama yataharakishwa yata ongeza uelewa na pia yatasaidia upatikanaji wa haki kwa haraka na wakati.

ni wakati sasa wa wizara wakishirikiana na prof kabudi kufanya mchakato wa kubadilisha sheria husika!

ukuaji wa wa uchumi wetu lazima uende sambamba na upatikanaji wa haki kwa wakati!
 
Mwakyembe, tafadhali usilete uholela katika Sheria na Haki. Umeshaharibu mengi sana tayari - INATOSHA BABA. Angalau tuachie hili ambalo ji la msingi mno kwetu.
 
Kwa mbali naona anguko la kampuni za kiwakili kwasababu mtu anaweza kutafsiri sheria kama anajua kusoma nakuandika.
 
Miswada ya sheria au sheria zitakazowekwa kwenye lugha ya Kiswahili italeta mkanganyiko mkubwa sana katika kuitafsiri (law enforcement)...
Mfano, sheria inasema 'mtu yeyote atakayekamatwa na bangi, atatiwa hatiani', Mtuhumiwa atajitetea, mimi sijakutwa na bangi, nimekutwa na haya majani ya ng'ombe, nilikuwa nawapelekea ng'ombe wangu wakayale'... Na mwingine atasema kuwa ni chakula cha sungura. n.k...
Kuwafunga watu kwa kutumia sheria za Kiswahili itakuwa ni kazi sana. Kutakuwa na loopholes za kutosha kuukwepa mkono wa sheria.
Wewe unataka watu wafungwe?
 
Waziri wa Habari, Dkt Mwakyembe asema lugha ya Kiswahili itaanza kutumika katika Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi kote nchini.

Waziri Mwakyembe ameeleza pia, kuanzia sasa miswada ya sheria itakayowasilishwa bungeni itakuwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
basi itakuwa vizuri kwa wananchi walio wengi kwa kujua na kuelewa sheria iliyoa andikwa kwa Lugha mama
 
Back
Top Bottom