Dr Mwakyembe kuingia kazini leo; kuzungumza na waandishi, nini tutegemee?

Mwakiembe from now ajishike na Mungu sana kwani kona zote hajui ni nani rafiki yake na ni nani adui yake..Be carefully Mwaki..
 
Mwakiembe from now ajishike na Mungu sana kwani kona zote hajui ni nani rafiki yake na ni nani adui yake..Be carefully Mwaki..

Naungana na wewe hawa jamaa wamemkosakosa mara mbili sasa, inabidi awe muangalifu sana kwani mara ya tatu hawatamkosa; na polisi wenyewe ndio hao ameishafurumushana nao!!
 
Akiendelelea kufichaficha ugonjwa alio nao shauri yake aseme kama ni sumu au kitu kingine na sio asubiri watu ndio wamsemee
 
mwakwyembe hawezi kusema lolote la maana sana sana atashukuru na kulitupia lawama jeshi la polisi halafu baada ya wiki mbili atarudi tena appolo...

mda si mrefu huyu hapa chini atatoa report juu ya:

1. BoT and Tanzania financial issues.
2. Intelligence Reports.
3. Political Situation
4. Corruption.
5.Who really runs Tanzania
6. What to do

540977522.jpg
 
Nifuraha yangu leo Dr H. Mwakiembe ataingia kazini, walio subiria geneza lake sasa mageneza yao ndio yatakuwa yakwanza kuingia kaburi. Mungu yule Yule ametenda tena na sasa mwakiembe anaanza kazi. Jina la Mungu liimidiwe. Pia leo tunategemea Mweshimiwa Mwakiembe kuzungumza na wateja, nifuraha ilioje atazungumza kwa utash na hekima kubwa kiasi hata wabaya wake watakosa lakusema. Huu ni mwanzo mpya na mwisho wamafisadi wote. Ninafuraha kubwa mwakiembe afya yake itaimarika sana na kuwa jasiri ya mara ya kwanza. Mungu ibariki Tanzania, viongoz waadilifu na watanzania wote...

Angetulia kwanza badala ya kuzungumzazungumza ingependeza
 
mwakwyembe hawezi kusema lolote la maana sana sana atashukuru na kulitupia lawama jeshi la polisi halafu baada ya wiki mbili atarudi tena appolo...

mda si mrefu huyu hapa chini atatoa report juu ya:

1. BoT and Tanzania financial issues.
2. Intelligence Reports.
3. Political Situation
4. Corruption.
5.Who really runs Tanzania
6. What to do

540977522.jpg

Si Balali huyu, yule aliyesingiziwa kifo? hii picha ni inaonekana ni ya juzi juzi.
 
mwakwyembe hawezi kusema lolote la maana sana sana atashukuru na kulitupia lawama jeshi la polisi halafu baada ya wiki mbili atarudi tena appolo...

mda si mrefu huyu hapa chini atatoa report juu ya:

1. BoT and Tanzania financial issues.
2. Intelligence Reports.
3. Political Situation
4. Corruption.
5.Who really runs Tanzania
6. What to do

540977522.jpg

photoshop ........utaalam wa kuunganisha picha kwa kompyuta unakaribia kuwaaminisha baadhi ya watanzania kwamba balali yu hai.

Kichwa ni cha balali kimeunganishwa na kiwiliwili cha jamaa mwingine aliyekuwa supermarket. Kwa wasiofahamu sayansi hii wataona ni kweli.
 
Back
Top Bottom