domokaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2010
- 3,545
- 1,719
- Thread starter
- #141
Binadamu tuna tofauti kubwa katika uwezo wa kufikiri. Wengine wanafikra kubwa wengine masikini fikra zetu ni ndogo na finu sana. tunapenda sana maneno ya umbea ambayo hayana hakika. Kusema walimuua fulani walimuaa yule, tuwe makini nao, tusishirikiane nao kwani tukiingia humo nasi mwisho wetu unaweza kuwa kama wale wengine. Hizo ni fikra za wambea wenye akili finyu lakini wenye akili wao watakuja kukuambia upande ule mliosema wanauana wamemlisha sumu mwenzetu, wengine katika kundi hilohilo watasema hatujamlisha sumu. Kundi moja kuna waliolishwa na wasiolishwa, lakini waliolishwa hawasemi nani kawalisha na kwa sababu gani kawalisha, hao wala si wambea, wanajua kwa hakika kinachoendelea lakini hawasemi, wanabaki kubishana kalishwa! hajalishwa huku wakisubiri siku za uchaguzi zifike. Wanakuja wanakuambia nichague mimi kwani ndiye niliyesema kalishwa. Masikini watanzania... the tongue of a gossip!!!