Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe alikumbwa na kadhia baada ya kukwama uwanja wa ndege leo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa sasa na iyo ni habari kweli kupewa uzito ivo.Cha ajabu nini sasa??!!
Huu ndio mwisho wako wa kujenga hoja?Si chadema wanasema watu hawana hela ya kusafiri na ndege??
Je waliorundikana hapo ni akina nani??
Ndio maana Magufuli amenunua ndege mbili na kuagiza zingine mbili ili kukabiliana na changamoto hii.
Magufuli ana akili sana na anaona mbali
huyo ni mpuuuzi usiwe unamjibuHuu ndio mwisho wako wa kujenga hoja?
Madawati na madawa ndo angekua anaona mbaliSi chadema wanasema watu hawana hela ya kusafiri na ndege??
Je waliorundikana hapo ni akina nani??
Ndio maana Magufuli amenunua ndege mbili na kuagiza zingine mbili ili kukabiliana na changamoto hii.
Magufuli ana akili sana na anaona mbali
Atcl ni sikio la kufa. Hamna kitu paleFastjet imenyang'anywa monopoly sasa inabidi ijipange vinginevyo tutaiaga muda si mrefu. ATCL knyakue hiyo fursa ambayo inaonekana ipo wazi.
Kwasababu ndege zilinunuliwa taslimu huku hakuna dawa hospIngekuwa ATCL yangeporomoshwa matusi hapa. Nakumbuka kuna mdau alileta uzi hapa akilalamika ATCL kuwakarisha KIA zaidi ya saa 2 eti wanasubiri bodi ya NSSF. Comments zilikuwa za matusi. Lakini hii iliyotokea sababu siyo ATCL inaonekana siyo issue
Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe alikumbwa na kadhia baada ya kukwama uwanja wa ndege leo hii