Dr. Mwakyembe akwama uwanja wa ndege baada ya Fastjet kuahirisha safari

Waziri wa katiba na sheria Harrison Mwakyembe alikumbwa na kadhia baada ya kukwama uwanja wa ndege leo hii

1480211813113.jpg
 
Kwa wenzetu yapo haya? Kama hayapo je sisi tumekosea wapi? Kama yapo yanajirudia kwa kiasi gani?
 
Si chadema wanasema watu hawana hela ya kusafiri na ndege??

Je waliorundikana hapo ni akina nani??

Ndio maana Magufuli amenunua ndege mbili na kuagiza zingine mbili ili kukabiliana na changamoto hii.

Magufuli ana akili sana na anaona mbali
Umeambiwa tatizo ni watu walikuwa wengi hadi safari kuhailishwa??
 
Si chadema wanasema watu hawana hela ya kusafiri na ndege??

Je waliorundikana hapo ni akina nani??

Ndio maana Magufuli amenunua ndege mbili na kuagiza zingine mbili ili kukabiliana na changamoto hii.

Magufuli ana akili sana na anaona mbali

Ndege gani makarai
 
Ni watanzania wangapi wanauwezo wa kupanda ndege? Nina uwezo wakuingiza milion mbili kwa mwezi lakini nafikiria laki na sitini kwenda mwanza basi ntaenda kwa 45000 ntasevu sh ngapi?
 
Mbeya haziendi...@Mwanyasi we hukuwa mmoja wa wanaoibeza Bombadia yetu?
Mbeya siyo Tanzania?
Kwani inakwenda wapi? Au Chato?
Hivi kuielezea bombadia ilivyo ni kuibeza?
Mapanga shaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tanzania ya Viwanda ninayoitaka ndio hii sasa.Kuna siku siku nilikuwa nasafiri ndege moja na Abdallah Posi ... tulikwama pia mpaka kesho yake tehe tehe ni kawaida....
Ni kawaida kwako ambaye sio mheshimiwasana!
 
Back
Top Bottom