Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

Halaf hawajui tu star tv ishasomeka kwamba ni tv yao so mwana ccm akienda pale ni sawa anawahutubia wana ccm wenzie tu...wangetafuta media zngne ili wafikishe ujumbe kwa watanzania weng zaid

Na ITV ni ya wachaga wanaowania vitalu vya gesi.
 
Puuuu....nikijumlisha na ya Kinje leo huko huko star tv naanza kuona mbingu zikifunguka na malaika wakishuka kumlaki Magufuli salenda bridge. Nasi tuliosalia tutanyakuliwa pamoja nao kumlaki tinga tinga magogoni. Na wooote tuseme Ameeeen

Labda Malaika wa kuzimu!
 
Ndio Dr Mwakyembe anamwamini Dr Magufuli. Maelezo yake yote yanaonyesha hivo. Hakuna lisilowezekana. Cha muhimu ni nia na uwezo. Kipindi cha Mwinyi serikali ilikuwa haikusanyi kodi ipasavyo lakini alipo kuja Mkapa alibadilisha mambo. Itakuwa hiyo rushwa ya kanga, kofia unayoisema wewe!

Chama hakiibi. Viongozi wa chama na serikali ndio wanaleta hayo yote.

Magufuli akiwa na nia na hapa naamini kabisa ana nia ya kupambana na ufisad hakuna kinachoshindikana. Uwezo anao. Historia yake tunaijua.

Tusipomchagua huyu Tanzania tutakuwa tumeinyima nafas ya pekee kabisa ya kupiga kasi kubwa ya maendeleo. Tutakuwa tumeinyima Tanzania rais mwadilifu. Tutakuwa tumeinyima Tanzania rais mchapakazi.

Chagua magufuli

Umeongea kitu cha msingi sana?!! Hakika MAGUFULI akishindwa urais watanzania tutakuwa tumefanya kosa kubwa sana ambalo kamwe titalijutia? Tanzania ya Magufuli nchii lazima itanyooka tu na hutasikia vitu vya ajabu ajabu kabisa lakini naona watanzania tubachezea sharubu za simba kule kichakani
 
Wadau, mwenyekiti wa kamati ya bunge kuchunguza tuhuma za richmund bwan mwakyembe anatarajia kuzugumzia swala la richmundi kwa undani saaana siku ya leo katika kipindi maalumu Star Tv.

Stay tuned...

===========
UPDATES:

21:30HRS

- Mahojiano maalum na Mwakyembe yanaanza

- Mwakyembe anadai suala la Richmond lilikuwa suala la kibunge; anasema tangu Lowassa ajiuzulu kumekuwepo sintofahamu nyingi lakini pale inapobidi inabidi waingilie kati kuelezea juu ya upotoshwaji unaofanywa!

- Mwakyembe anasema Lowassa alijiuzulu kwakuwa alijua tuhuma dhidi yake zilikuwa za kweli

- Mwakyembe anasema Lowassa ni tajiri sana, na utajiri wake ameupata akiwa serikalini.

- Anaeleza jinsi mgao wa umeme ulivyoanza na kilichopelekea ujio wa Richmond na uhalali wa Richmond na mkataba wake na TANESCO.

imedoda hiyo.atafute uzi mwingine wa kuongea kv escrow.
 
Lowasa ni fisadi tena jizi la kutupwa hafai kuwa rais coz mwizi ni mwaizi tuu. na hatakuwa msafi kamwe mpaka anakufa

Kwahiyo Hiyo Ndio Adhabu Ya Mtu MWIZI!!! Kwa KUSHINDWA Kwa CCM Na SERIKALI Yake Kuwachukulia Hatua Kali Za Kisheria WATU Ambao Wanaotuhumiwa Kwa Ufisadi, Wizi, Ulaji Rushwa, Ubadhilifu Na Matumizi Mabaya Ya Ofisi!! Kwa Miaka Yote Hii, Kuanzia EPA, RICHMOND, DEEP GREEN, MEREMETA, ESCROW, MELI MBOVU YA MAGUFULI, MABEHEWA MABOVU YA MWAKYEMBE, RADAR, NDEGE YA RAIS N.k!! Miaka Yote Mnakaa Pamoja BUNGENI, SERIKALINI Na NDANI YA CCM, MNALINDANA tu!! Hadi Hao Mnaodai Wezi Watoke CCM, Ndio Viongozi Wa SERIKALI Wanajitokeza Na KUTUAMBIA WATANZANIA, Eti Huyo Au Hao Wezi!! Sasa Mwenye MAMLAKA Ya Kuwakamata, Kuwashitaki, Kuwafunga Na Kuwafilisi Mali Zao Kufidia Ufisadi, Wizi Na Ubadhilifu Walioufanya, Ni CCM Yenyewe Na SERIKALI Yake Au Sisi Raia!!!!???? Kama Wao Ndio Wenye Malmlaka Ya Kufanya Hayo!! Je Walichukua Hatua Zipi??? Ndio Maana Jana MWAKYEMBE Alipoulizwa Ni Nini Muarobaini Wa Kutokomeza Vitendo Vya Ufisadi, Wizi Na Ubadhilifu Nchini!! AMESHINDWA KULIJIBU Hilo SWALI!! MTANGAZAJI Amemuliza Mara 3!! Zote AMESHINDWA!!!!!
 
Wadau, mwenyekiti wa kamati ya bunge kuchunguza tuhuma za richmund bwan mwakyembe anatarajia kuzugumzia swala la richmundi kwa undani saaana siku ya leo katika kipindi maalumu Star Tv.

Stay tuned...

===========
UPDATES:

21:30HRS

- Mahojiano maalum na Mwakyembe yanaanza

- Mwakyembe anadai suala la Richmond lilikuwa suala la kibunge; anasema tangu Lowassa ajiuzulu kumekuwepo sintofahamu nyingi lakini pale inapobidi inabidi waingilie kati kuelezea juu ya upotoshwaji unaofanywa!

- Mwakyembe anasema Lowassa alijiuzulu kwakuwa alijua tuhuma dhidi yake zilikuwa za kweli

- Mwakyembe anasema Lowassa ni tajiri sana, na utajiri wake ameupata akiwa serikalini.

- Anaeleza jinsi mgao wa umeme ulivyoanza na kilichopelekea ujio wa Richmond na uhalali wa Richmond na mkataba wake na TANESCO.

aache unafiki kwa nini mengine alificha
na kwa nini anashindwa kutuweka wazi kwamba richimond,dowans,na sasa symbion ipo na inalipwa mbona asemi
aache unafiki wake
 
Zilipendwa mwakyembee hazina mashiko kwa sababu wachafu ni wote humooo kulikoni wewe Uzidi kumshikia bangooo lowasa wewe una ajenda ya siri tumekushtukia
 
Unachukua unaweka lowasaaaaa ...ufisadi watanzania wachache sana wanaopata pesa za halali wengi wapigajiiiiii tuuuu
 
ukimwi ulimnyonyoa mpaka nywele anadai sumu,Story ya Richmond tumeshazoea,mmechelewa muda uliobaki hamuwezi kubadilisha akili za watz

Hatutaki Majizi na Mafisadi kwenda lkulu, tunataka Mwaminifu na NYAPARA Magufuli
 
Wakati wengine wanamaliza kampeni leo ktk jimbo la kyela wengine ndio tunaanza rasmi safari ya 2020. Nuru inakuja wana kyela.
 
Kwahiyo Hiyo Ndio Adhabu Ya Mtu MWIZI!!! Kwa KUSHINDWA Kwa CCM Na SERIKALI Yake Kuwachukulia Hatua Kali Za Kisheria WATU Ambao Wanaotuhumiwa Kwa Ufisadi, Wizi, Ulaji Rushwa, Ubadhilifu Na Matumizi Mabaya Ya Ofisi!! Kwa Miaka Yote Hii, Kuanzia EPA, RICHMOND, DEEP GREEN, MEREMETA, ESCROW, MELI MBOVU YA MAGUFULI, MABEHEWA MABOVU YA MWAKYEMBE, RADAR, NDEGE YA RAIS N.k!! Miaka Yote Mnakaa Pamoja BUNGENI, SERIKALINI Na NDANI YA CCM, MNALINDANA tu!! Hadi Hao Mnaodai Wezi Watoke CCM, Ndio Viongozi Wa SERIKALI Wanajitokeza Na KUTUAMBIA WATANZANIA, Eti Huyo Au Hao Wezi!! Sasa Mwenye MAMLAKA Ya Kuwakamata, Kuwashitaki, Kuwafunga Na Kuwafilisi Mali Zao Kufidia Ufisadi, Wizi Na Ubadhilifu Walioufanya, Ni CCM Yenyewe Na SERIKALI Yake Au Sisi Raia!!!!???? Kama Wao Ndio Wenye Malmlaka Ya Kufanya Hayo!! Je Walichukua Hatua Zipi??? Ndio Maana Jana MWAKYEMBE Alipoulizwa Ni Nini Muarobaini Wa Kutokomeza Vitendo Vya Ufisadi, Wizi Na Ubadhilifu Nchini!! AMESHINDWA KULIJIBU Hilo SWALI!! MTANGAZAJI Amemuliza Mara 3!! Zote AMESHINDWA!!!!!

Kwa hiyo na nyie mmeamua kukumbatia wezi kwa sababu CCM imekumbatia Mafisadi?
 
Eti anaeleza kwa undani, alishindwa nini kueleza kwa undani Bungeni? Star TV anadhani atasikika zaidi?Wameona madongo yoote waliyompiga Mheshimiwa Lowasa anazidi kuchanja mbuga leo anadhani anatubadilisha ? Kwa taarifa yake wenye kutaka mabadiliko tulisha achana na Star TV, TBC.maana yake zinatuhamisha kwenye lengo letu la mabadiliko.Dr.umechemsha.
 
Na hao wanaosema sasa ni zamu ya walutheri kupata rais wanaendekeza nini?

Fikiri kabla ya kupost chochote kila mTz ana kabila lake na dini yake. Lakini sote tu waTz na kila mmoja hata kama ni Mchaga ana haki ya kufikia malengo yake hata kama ni kuchimba GESI au kuwa Rais.
 
Wewe Mwakyembe Bado U alialia tuu Na Richmond.Basi kwa Taarofa yako Lowasa tumemsamehe.Tafuta Namna nyingine tena ya kusema kwani Hizo zilikuwa hela zetu sisi wavuja jasho.
 
Back
Top Bottom