Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

Nani amuwekee sumu mtu kama yeye. Mafungus yake ya Ubongo yana msumbua sasa anataka kusingizia watu. Tena aombe Lowassa awe Rais ili ziingizwe ARV ambazo sio Feki.
 
Huyu si ndiye aliyekana chapisho lake mwenyewe ndani ya BMK? Njaa imeingia kichwani.
 
Ukweli hauna expire date. Ukweli hauna siku ya kuharibika. Kama ni ukweli na usemwe.

Waafrika hawana utamaduni wa kukabiliana na ukweli. Ni waoga balaa. Wanapenda kusikiliza yanayo waliwaza tu. Kabili ukweli ndugu. Ukweli utakuweka huru. Sikiliza halafu amua.

Kujifunza hakuishi
 
Ndipo akili yake na u dr wake wa sheria ulipoishia hapo! Toothless poppy! Mi nlijua mahakaman akimshtak mwanasheria mkuu na lowassa kwa jina lake kumbe ni ni taa ya chemli tv(maana haina hadhi ya kulinganishwa na nyota tena)!
 
Nashindwa kuwlewa wanasiasa wa kiTanzania wanajifunza/walijifunza wapi siasa?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom