Dr Mwakyembe achana na Mpango huu wa kuunda tume ya maadili ya Mahakama kila wilaya na mkoa

Atclkwanza

JF-Expert Member
Dec 20, 2015
823
998
Nimemsikia Mwakyembe akisema serikali ipo kwenye mpango wa kuunda tume ya maadili ya mahakama kwa kila wilaya ambayo itakuwa Chini ya mkuu wilaya,

hajui kwamba mkuu wilaya au mkuu wa mkoa ni kiongozi wa serikali?

Je akina Makonda,Gambo kama hawajaridhika na hukumu walivyotegemea hawatawasumbua mahakimu wetu, Mwakyembe achana na mpango huu Mara moja.
 
Wa kulisemea ni Jaji Mkuu, amekaa kimya!!!!!! Huyu baba, Mh, nisiseme mengi, basi. Uhuru wa mahakama utakuwa wapi, at stake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom