Dr Mumbi: IMF met Magufuli and admitted the report on Tanzania's economy half baked

Mnapata tabu Sana uchumi wakwenye makaratasi huo... Hata watanzania tunawashangaa huo uchumi unakuwaje kwa 7% huku biashara zinafungwa na mawaziri wanakiri kweli biashara zinafungwa... Sasa Kama huko ndo kukuwa kwa uchumi sawaaaaaaaaaa
Acha mambo ya mazoea biashara halali ni zile zinazolipa kodi!
 
Geza ulole kumbe ndo wewe? Hilo jina nililitamani nikaambiwa kuna mtumiaji tayar analimiliki dah hongera mzee,anyway hili movie la wana IFM na uchumi wa Tz silielewi kabisa .
 
IMF ni wapuuzi sana, walifikiri tungewachekea, sasa wamefyata mkia kwa aibu

AfDB wenyewe wanawashangaa hizo takwimu wamezitoa wapi wakati wenyewe wanajua Tanzania uchumi unakua kwa 7.5%
 
Umeshafikia 7.5% tayari!? Duhh! Basi tufanye karibu tutafikia 10% kama ni rahisi hivyo.
 
IMF ni wapuuzi sana, walifikiri tungewachekea, sasa wamefyata mkia kwa aibu

AfDB wenyewe wanawashangaa hizo takwimu wamezitoa wapi wakati wenyewe wanajua Tanzania uchumi unakua kwa 7.5%
Endelea kupika takwimu ili mjifurahishe mko juu ya Kenya while yr people are starving,no money to finance projects and yr ministers are admitting the economy is getting worse
You will never beat Kenya regardless how much you cook yr data
 
Sumbawanga wazima?
Nini maana ya "starving" ndugu mwananchi?
 
Endelea kupika takwimu ili mjifurahishe mko juu ya Kenya while yr people are starving,no money to finance projects and yr ministers are admitting the economy is getting worse
You will never beat Kenya regardless how much you cook yr data
This fool thinks we are competing with kenya. Sasa Kenya si ni takataka failed state, you are neither our role model nor competitor. We after something bigger, the people's welfare, tanzanians.
 
Moderator wa hili jukwaa wapuuzi sana, mmesubiri usiku nimelala mkaja kufuta uzi wangu wa SGR to DRC, coward cunts bastard, rudisheni uzi wangu haraka swain.

No professionalism at all here, mpo kimihemko mpaka mnaboa.
 
Mnapata tabu Sana uchumi wakwenye makaratasi huo... Hata watanzania tunawashangaa huo uchumi unakuwaje kwa 7% huku biashara zinafungwa na mawaziri wanakiri kweli biashara zinafungwa... Sasa Kama huko ndo kukuwa kwa uchumi sawaaaaaaaaaa
Biashara zilizpfingwa ni 16,400, na zilizofunguliwa ni 143,000, waziri ametoa hiyo idadi, mbona unamnukuu waziri upande mmoja?.

Hivi duniani watu hawafii?, mbona bado idadi ya watu duniani inazidi kuongezeka pamoja na kwamba kuna watu wanakufa?.
 
Moderator wa hili jukwaa wapuuzi sana, mmesubiri usiku nimelala mkaja kufuta uzi wangu wa SGR to DRC, coward cunts bastard, rudisheni uzi wangu haraka swain.

No professionalism at all here, mpo kimihemko mpaka mnaboa.
Niliufungua ule uzi na kuusoma baadae, nikabonyeza thanks nikawa napata error, niliporefresh kitu kikaniambia oops.
 
Umeielewa hiyo video ???humu ndani mm nshaacha hadi kubishana na watu maana hata hawaelewi hata kingereza saa wee cjui unaongea nn hapa
Mnapata tabu Sana uchumi wakwenye makaratasi huo... Hata watanzania tunawashangaa huo uchumi unakuwaje kwa 7% huku biashara zinafungwa na mawaziri wanakiri kweli biashara zinafungwa... Sasa Kama huko ndo kukuwa kwa uchumi sawaaaaaaaaaa
 
Uchumi was Tz unakuwa kwa 7.5% hata Kama Bagamoyo imeishia majini, SGR imekaza vyuma, ATCL yetu tuliambiwa May inaanza safari za Mumbai na Guangzhou ila betri ziliibiwa Sasa nikutafuta mkandarasi was kuzinunulia betri afu Dar no a big swimming pool 😂😂😂😂 redeemer
 
Uchumi was Tz unakuwa kwa 7.5% hata Kama Bagamoyo imeishia majini, SGR imekaza vyuma, ATCL yetu tuliambiwa May inaanza safari za Mumbai na Guangzhou ila betri ziliibiwa Sasa nikutafuta mkandarasi was kuzinunulia betri afu Dar no a big swimming pool redeemer
Kwa rate ya ukuaji wa 5% kenyani GDP imekuwa kutoka $60blm 2014-mpaka $99bln 2018,explain how.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom