Dr.Mollel naishukuru Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni

Imma Saro

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
394
197
Namshukuru Mungu. Naishukuru kambi rasmi ya upinzani kwa kuniteuwa kuwa Waziri Kivuli wa Afya Naahidi kuitumikia vyema nafasi hii Sitawaangusha UKAWA na watanzania kwa pamoja.
Wananchi wangu wa Siha nawashukuru sana bila ninyi nisingelikuwa hapa mliniami nami nawaamini nami nimeaminiwa.
Mungu ni mwema
Dr Mollel
12654101_1010422905708370_1797130450225017277_n.jpg

Waziri Kivuli wa Afya
 
Heri wewe unayekumbuka kushukuru!wengine hudhani wanastahili kupokea na sio kutoa kama vile vitabu vya Mungu vinavyotuelekeza.
 
Namshukuru Mungu. Naishukuru kambi rasmi ya upinzani kwa kuniteuwa kuwa Waziri Kivuli wa Afya Naahidi kuitumikia vyema nafasi hii Sitawaangusha UKAWA na watanzania kwa pamoja.
Wananchi wangu wa Siha nawashukuru sana bila ninyi nisingelikuwa hapa mliniami nami nawaamini nami nimeaminiwa.
Mungu ni mwema
Dr Mollel
12654101_1010422905708370_1797130450225017277_n.jpg

Waziri Kivuli wa Afya

Mshukuru Mbowe wa kilimanjaro kwa Kukupa wewe mbunge Wa SIHA KILIMANJARO kuwa waziri kivuli wa Afya.Naona kwenye hilo baraza asilimia kubwa mnatoka kilimanjaro Asilimia 72 YA WIZARA ZOTE MMESHIKA WATU WA KILIMANJARO kwenye hilo baraza kivuli.

Ila mtajaza SERVER aje Halima Mdee amshukuru mbowe, Godbless lema amshukuru MBOWE, aje SUZAN Lyimo AMSHUKURU MBOWE,AJE JAMES MBATIA amshukuru Mbowe nk,nk
 
Back
Top Bottom