Dr Mollel: Hakuna Dini iliyowahi kumuua Shetani hivyo mambo mabaya bado yako kila mahali siyo serikalini pekee!

Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema mambo ya hovyo bado yanaendelea sehemu mbalimbali nchini kwa sababu hakuna Dini iliyowahi kumshinda Shetani

Source Star tv
Sijaelewa hapo.kwamba hii awamu ina mambo ya hovyo kuliko zote zilizopita?kwamba viongozi wa sasa wanaundugu na shetani?
 
Naibu waziri wa Afya Dr Mollel amesema mambo ya hovyo bado yanaendelea sehemu mbalimbali nchini kwa sababu hakuna Dini iliyowahi kumshinda Shetani

Source Star tv
Kwani sheitwani anaishi wapi na kosa lake nini hadi auawe?
 
Kuna mchungaji mmoja kanisa la siloami aliwahi kumuua shetani mwaka 2013, bahati mbaya mchungaji huyo alifariki tungeweza kupata ni namna gani aliweza hilo.
 
Dini zote ni utapeli tu.

Hazina uwezo wa kumtokomeza na kumuondoa duniani Shetani
 
Back
Top Bottom